Michepuko embu mrekebishe tone ya sms zenu, ziwe ngumu

Michepuko embu mrekebishe tone ya sms zenu, ziwe ngumu

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,651
Reaction score
17,205
Wadau,

Embu hli suala liangaliwe vizuri ili kutosababisha matatizo ktk ndoa za watu.Jana nimetoka kazini, nikakatext ka mchepuko ka kitambo kidogo.

Mimi: Mambo vipi!
Mchepuko: Poa tu mpenzi wangu.

Aisee nikashtuka nikaidelete sms haraka. Nikajiuliza vipi kama ingepokelewa na mke wangu.

Jamani michepuko ifike mahala mjue kabisa tuko na familia zetu, lakini pia tunawajali. Chondechonde msilainishe sms. Andikeni sms ngumu ngumu., ili hata ikisomwa kwa bahati mbaya na wake zetu wasilete shida.

Mfano:
Mimi: Mambo vipi!
Mchepuko: Poa tu we kizibo, uko poa.
Mimi: We bweg*e nini, niko poa. Umekula
Mchepuko: Nile umenipa hela , f*la nini?

Namna hiyo tuendelee dumisha ndoa. Tunawajali sana michepuko.

Asanteni
 
blogger

cc asprin. Ahaaaaaaa nimecheka utazani hapo kwenye mfano umeandika wewe loh!
 
Last edited by a moderator:
Duh, hii nzuri sana. Idumu michepuko inayojali
 
mchepuko: kesho sizani kama ntamudu michezo yako
mimi: kivipi mbona unazingua
mchepuko: mbona ulikuwa unatelezesha na kutaka kunigonga nyuma?
mimi: acha uboya hicho kitu cha kawaida, si nilikwambia gari langu break zilikuwa zinafeli?
 
blogger

Yaan mkuu Nimecheka!
Sasa kwa nini usiache tu! Baki njia kuu boss! Mtakufa shaur yenu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom