Mtoa mada uko sahihi lakini nchi hii kwa sasa haijulikani tunaamini Kwenye uhalali or Uharamia. Ni kama viongozi wetu wamelogwa na mchawi amekufa kabla kuwazindua.
Angalia Katiba ndio Sheria mama ya nchi lakini Inachangaza Spika anajiapiza Kulinda Haramu. Kwa ufupi Kwa sasa Hatujui tunaongozwa...
Rubbish and you don't deserve to be here. Mawazo ya Kuburuzwa na Kutawaliwa kama Kondoo bila Kuoji na kutojitambua kifikira. Safari bado ni Ndefu kama taifa litakuwa na Mawazo haya Mgando. Daaah! sijui hata wewe ni wa jinsia gani! Fikiria kama Mwanaume Unayetamani hata siku moja na wewe ufike...
Kwa sasa Hakuna Tofauti ya Mtumishi wa Umma na Mtumishi wa CCM. Kwa Maana Watumishi wote wa Umma ni Makada wa CCM so ni vigumu kuwatofautisha Kimajukumu. Hakuna tofauti yoyote maana wote ni CCM. Kwa Maneno Mengine Wengi sekta binafsi na wasiokuwa na ajira rasmi wako upande wa pili na ndilo kundi...
Mbona hadi sasa hakuna wa kumfunga Paka kengere. Tulishafika kitambo ndo Mnaligundua hili. Ile Movie Inayoendelea Uganda kwa Sasa ukiingalia na Kuifuatilia kwa Umakini Utagundua Haitofautiani ni ile ya 28 October, 2020.
Ni Upuuzi tu Kila Kitu Mbeligiji wakati hata huko ubelgiji Mamazenu hawakuwai Kupafikilia. Itakuwaje umwite mwenzako mbelgiji wakati unajua Kilichompata na ilikuwa kukoa uhai wake toka kwa Wauwaji waoga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.