kambiyamkaa
Senior Member
- Aug 9, 2020
- 122
- 110
Naomba mawazo yenu.
Wakati joto likizidi kupanda kwamba ni Mbunge gani ataukwaa Uwaziri baada ya uteuzi uliofanywa Jana na Rais Magufuli kwa kumteua Hamfrey Polepole na hivyo kuongeza joto na pressure zaidi ya Baraza la Mawaziri, hebu tutupitie jicho nafasi aliyokuwa akiishikilia Polepole!
Mimi kwa mtazamo wangu nawaona watu wawili wana nafasi kubwa ya kushika/kuteuliwa kuvaa viatu vya Polepole! Na si wengine, ni David Kafulila au Paul Makonda. Wewe unampa nafasi kubwa Nani Kati ya hawa wawili!?
Ahsante. Nomba mawazo yenu.