Hii ni habari njema kwa wote wenye mapenzi mema na Kanisa Katoriki kote Duniani, Ee mwenyezi Mungu ASANTE kwa neema hiyo mjalie uwezo wa kuyatimiza yote kwa mapenzi yako
Asante sana kwa kumbukumbu yako nzuri iliyosheheni vituko zaidi kuliko mazuri uliyojifunza ikiwemo kilimo cha zabibu kwa wale waliokuwa Makutupora, ufugaji wa kuku wa mayai Ruvu, kilimo cha mahindi kule Mlale, mafinga, na kwingineko, bila kusahau matofari ya mawe Oljoro na kilimo cha maharage...
Hapa roho ngumu ya wanaume iko wapi kwa yule aliyeua, ama kwa maneno yake ya kusema ameambiwa hawezi kuolewa akiwa na mtoto? Je wale wanaotupwa vyooni na njiani mwenye roho ngumu nani? Mungu amsamehe huyo nawe pia
Jitahidi kusoma na kuelewa mada; haizungumzii kudumu ama kutodumu kwa ndoa bali mfumo jike. Mwombe Mungu akusamehe kwa mawazo uliyonayo ya ushoga na usagaji pole!
Poleni sana watz wenzangu madereva kuweni makini kwani ajali za mwendokasi ni tofauti na zile za mwendo wa viwango, jueni kuwa kifo cha ajalini hakichagui dereva yahurumieni pia maisha yenu na familia zenu. Mwenyezi mungu awape ahueni ya kupona haraka majeruhi wote na pia awape marehemu wote...
Daima mtu yeyote anayeshambuliwa na KIRUSI (VIRUS) cha ubinafsi hawezi kuielewa hoja yako ambayo kimsingi ni ya kweli na wazi na katika hali ya kawaida haikutakiwa utumie muda na nafasi kubwa kuyaeleza haya ila kwa kuwa tayari kirusi hiki kimeshika hatamu imekugharimu pole sana. Usichoke ni...
Katika hali ya kusikitisha mnara wa kumbukumbu ya Baba wa taifa Mwl Nyerere ulioko katikati ya mji wa Dodoma makao makuu ya nchi umeanza kuharibiwa kwa kubandua vigae(tiles). Tukielekea kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tz ambao muasisi wake ni baba wa taifa wachache wameanza kuharibu mazingira...
Tatizo wabongo tunachakachua hata visivyohitaji kuchakachuliwa, kitendo cha mtz kukosa elimu ambayo ni haki yake ni sawa na kumuua ni vyema tukajadili nini kifanyike ili wote wenye stahili hiyo waipate au tuanzishe vyuo vikuu vya kata.
Pole sana, kuvumilia pasipokuwepo mipango thabiti ya utatuzi wa kile unachuvumilia ni sawa na kukalia moto ukidhani utazimika. nakushauri urudishe moyo wa mapenzi ndipo uombe ushauri kwani kusema mapenzi yameisha kabisa ni kwamba tayari jibu/maamuzi unayo. Taswira ya hayo ulikuwa nayo tangu...
Pole sana, kuvumilia pasipokuwepo mipango thabiti ya utatuzi wa kile unachuvumilia ni sawa na kukalia moto ukidhani utazimika. nakushauri urudishe moyo wa mapenzi ndipo uombe ushauri kwani kusema mapenzi yameisha kabisa ni kwamba tayari jibu/maamuzi unayo. Taswira ya hayo ulikuwa nayo tangu...
ninachokifahamu ni kuwa wengi wa wanaofanya biashara hii hawana muda ama hawajui kabisa matumizi ya mtandao huu hivyo ni vigumu kupata jibu haraka lakini kwakuwa umeomba msaada basi endelea kusubiri au ulikuwa unamaanisha nini zaidi?
nahisi yatakuwa ni mtazamo vinginevyo onyesha uzoefu wa hayo! mnh!! lakini inaweza kusaidia ingawa suala la kupenda kwa kuona ni tata mno kwani inategemea ni sehemu gani angependa kuona ili apagawe/apende.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.