Ajali mbaya ya basi la NBS - Igunga

Poleni sana mlionusurika na waliopoteza ndugu na jamaa MUNGU awape nguvu.
 
Poleni sana, marehemu wapumzike kwa amani na majeruhi Mungu awajalie wapone haraka.
 
waliotutangulia mbele za haki Mwenyeenz Mungu awape mapumzko ya amani....walioumia kwa namna yeyote ile Mungu awape neema ya kupona haraka.
 
Poleni sana wahusika wote. Kama kawaida tutaanza kumsingizia MUNGU kwamba kazi yake haina makosa.
Haya ni yetu wenyewe maana tunawaruhusu TBS kufanya watakalo ikiwa ni pamoja na kuingiza matairi yasiyo na viwango na kila siku ajali nasi tanalalama tuu.

ajali ni nyingi kwa kuwa kuna magari mengi. Leseni mpya hazina msaada? Nchi yetu kwa biashara haijambo. Sticker za fire extinquisher bila fire extinquisher yenyewe. Nk. Du'
 
Kila siku polisi barabarani wanakula rushwa na ajali zinatokea,madereva nao hawajufunzi kwa ajali wanazokumbana nazo.....kweli haya ni maajabu......poleni sana
 
Poleni sana watz wenzangu madereva kuweni makini kwani ajali za mwendokasi ni tofauti na zile za mwendo wa viwango, jueni kuwa kifo cha ajalini hakichagui dereva yahurumieni pia maisha yenu na familia zenu. Mwenyezi mungu awape ahueni ya kupona haraka majeruhi wote na pia awape marehemu wote stahili yao, tunawaombea msamaha wa dhambi zao Amina.
 
Back
Top Bottom