Mfumo jike una cost ndoa nyingi

Mfumo jike una cost ndoa nyingi

Kaunga,nakuheshimu sana,comment hii haiendani kabisa na reputation yako hapa jf,matusi si lazima uandike maneno ya matusi!

Najihisi umenitukana Kaunga!can u please apologize at least to me,who asks for your apology?if not to all men!

I do apologize to you Mc Tilly na wale wote wanaowarespect wanawake na kushirikiana nao katika kutengeneza familia yenye upendo na heshima!

By the way sijasoma mchango wako, nikukuta uko tofauti nita UNDO my apology to u!
 
Mc Tilly
Nimependa option no 3, ya kupokezana ukuu wa familia democratically! LOL
 
mtoa mada ni mpango wa Mungu kuwa mwanaume awe kichwa cha nyumba na ndo ilivo. Chanzo cha tatizo, waume wanakwepa majukumu yao dats y sie tunahangaika na kuacha watoto wa 3mnths kwenda kusaka ajira.akiishiwa hunyenyekea,akipata huama nyumba we wadhan m-mke atabak ndan afe njaa na mwanae?dunia ya leo c km enz za mababu zetu ati,wanaume wamebadilika pesa zaishia nyumba ndogo.unadhan nan akubali kubak ndan?niny ndo mwanzo wa matatizo,make niny hao hao hamuish kusema oh golikipa,gold digger na vtu km hvo!
 
Iam the boss of my own..........nobody including mume can take control of me. Kichwa changu ndio serikali yangu......NOTE BETTER!

Mume ni kama mwenza tu....kwahivo tutaongozana kwenye kila kitu!

Hence...there is no any exception, however the option is, whether you take it or else....CHAPA LAPA, full stop!!!!! Mmetesa sana mama zetu nyie kwa kisingizio cha mfumo dume na mpango wa mungu.

FYI; yaaani ndo kwanzaaa kunakucha.....jipangeni upya!!

triple like
 
Kwa mujibu wa hii siredi watu wanayatazama maandiko kama yamepitwa na wakati vile!
so true.... 'enzi za timotheo' mwanamke < mwanaume maana hawakuwa na elimu/kipato/nyumba au njia yoyote ya kujikimu bila mume, ni lazima watii kila jambo bila ubishi. Sasa hivi wanawake wasomi wapo na wanaweza kujikimu kama wanaume so hawataki kusikia kwamba ke<me. Wanaume waliopitwa na wakati wanaona hii hali ya sasa hivi ni 'kiburi' cha wanawake,
 
Kuoa mwanamke mwenye elimu ni janga kwenye ndoa na taifa.
 
Mc Tilly
Nimependa option no 3, ya kupokezana ukuu wa familia democratically! LOL

Asante Kaunga!ktk tafakari zangu nilidhani hiyo ndio itakuwa fairness!na nadhani in the future itakuwa hivyo!watu watakuwa bize kujenga ndoa zao na kupanda cheo ktk ndoa badala ya kukazana nyumba ndogo na vidumu!asante!tuendelee kujadili!we may save marriages,families hence the world!inawezekana!
 
I do apologize to you Mc Tilly na wale wote wanaowarespect wanawake na kushirikiana nao katika kutengeneza familia yenye upendo na heshima!

By the way sijasoma mchango wako, nikukuta uko tofauti nita UNDO my apology to u!

Asante Kaunga kwa kuwa muungwana!ubarikiwe!i hope baada ya kusoma mchango wangu umejua mimi ni mtu wa mtazamo upi!pamoja!
 
Kuoa mwanamke mwenye elimu ni janga kwenye ndoa na taifa.

Seriously?...this is news to me, so are you suggesting that women shouldn't be educated? If that the case then you're a tragedy to womanhood and the world.
 
Iam the boss of my own..........nobody including mume can take control of me. Kichwa changu ndio serikali yangu......NOTE BETTER!

Mume ni kama mwenza tu....kwahivo tutaongozana kwenye kila kitu!

Hence...there is no any exception, however the option is, whether you take it or else....CHAPA LAPA, full stop!!!!! Mmetesa sana mama zetu nyie kwa kisingizio cha mfumo dume na mpango wa mungu.

FYI; yaaani ndo kwanzaaa kunakucha.....jipangeni upya!!

Ha ha ha ha yaaani humu kuna kila kitu.......huwa natamani kupata cocktail party na wadau wa humu Jf ili kupata wasaa wa kuwaona......ila mi najua wanawake wakorofi wa nje ni kama makovu yaani ubora wa ngozi (skin) uko chini ya kiwango na ni rahisi kuchubuka tena!!!!!!!

Kipipi my dear I think wewe ni mwanamke muelewa sana tu na wala sio mtata ndo maana uko this way........easy to cope (not simplistic)...........mkiwezeshwa mnaweza banaaaaa
 
Ushauri wa bure; mnaonaje mkioana wenyewe kwa wenyewe ili ndoa zenu zidumu?
Mfumo jike is here to stay!

Jitahidi kusoma na kuelewa mada; haizungumzii kudumu ama kutodumu kwa ndoa bali mfumo jike. Mwombe Mungu akusamehe kwa mawazo uliyonayo ya ushoga na usagaji pole!
 
ajabu mno humu ndani
kwa kuwa kuna wanaume wanatesa wanawake basi wanawake sasa wako out for revenge...

hata kama hakuna ,ateso
wao ni kudai usawa kwa kila kitu hata wasivyostahili..........

as if two wrongs make it right na mapenzi sasa ni eye for an eye
 
Mfano??? The Boss
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengi wanaiga mambo ya kuzungu na kusahau uafrika wao
 
Sasa wakae nyumbani na kulea wakati jukumu lenu la kuleta mkate hamliwezi mpaka msaidiwe?

Kama ukitaka kuishi kwa kufuata vifungu vya biblia, unatakiwa uviishi haswa na sio unachagua vile vinavyoku-favor wewe bila kuangalia upande wa pili.
sual ni kuishi kitakatifu kwa mujibu wa maagizo ya Mwenyezi Mungu.....

mkate wa kila siku upi ambao mumeo hauleti?

mkifuata mafudisho ya Mungu hamtakaa kutalikiwa na kuitwa majina mabaya ya kidhalili.......
 
Back
Top Bottom