Recent content by Rungutira

  1. Rungutira

    GE2020 Poleni wapinzani

    Sijasoma Mpaka Mwisho lakini bandiko lako seems umeandika rubbish... Hauna lolote la kuwashawishi watanzania kuhusu hii idea yako... Uchaguzi /uchafuzi uliomalizika umeangukia njia yako unayohita numba mbili whether you like or not....Endelea kujifariji...
  2. Rungutira

    GE2020 Tufanye Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani, Rais Magufuli hana Mpinzani

    Upeo wako ni Mkubwa sana tena Sana. Upinzani nchi hii ndio sasa umefika sehemu sahihi kama tuonavyo . Nasema wamefikia sehemu sahihi maana wamegundua wanaeshindana nae ni mtu/kikundi ya watu gani. Kuna mbinu watakuja nayo nadhani mazingaombwe waliyofanyiwa hayatajirudia. mwisho wa siku tuombe...
  3. Rungutira

    Usifanye haya na pesa yako leo

    Numba 8 and 10 huko sahihi na Imenigharimu sana mimi. Asante kwa kutukumbusha hizi principles za kifedha.
  4. Rungutira

    WaKenya wazidi kuvamia ajira Tanzania

    Piga Kazi acha wivu wa Kike...
  5. Rungutira

    GE2015 Ni uvumilivu wa Wapinzani unayoiponya Tanzania

    Sio Leo wala kesho.. CCM Mbele kwa Mbele....
  6. Rungutira

    Vurumai kwenye Uchaguzi wa Mitaa, Ukimya wa JPM, Je huku si kupotoka kwa Serikali kwenye dhamana ya Umma?

    Ndugu yangu Unamapenzi sana kiasi kwamba umepitiliza. Ukweli ukisemwa kuna wakati kwa mtu mstaarabu ananyamaza...
  7. Rungutira

    Kama unafikiri umepatwa na mitihani mikubwa hebu mfikirie mwanafunzi huyu

    Mitihani ni Mingi Mwache Mungu aitwe Mungu.....Very sad and paining experience kwa Binti huyu atakapojua kilichotokea....
  8. Rungutira

    Nina Diploma natafuta kazi yoyote

    Subiri Nikutumie ukaanze na Hii.. Nakuwekea hapo one moment.
  9. Rungutira

    Katika hili, Rais Magufuli ni moja ya “Smartest people” Tanzania

    Mbona Unatoa mada unaendelea kuchangia wewe Mwenyewe.. Ebu pozi kidogo tusome na mawazo ya wengine...over..
  10. Rungutira

    Hali halisi: Maofisini, mahotelini, kwenye mabasi, magulioni wengi nyuso hazina furaha

    Njoo Kasulu Kigoma Bars kama "Mbashara and Top ten," furaha hadi raha...Jamani kama hauna pesa ni wewe tu wengine life kama kawa...Karibu Kasulu-Kigoma tushare raha na Warudi plus Wakongo. Jamani Kigoma Raha....Starehe ilianzia Kigoma.. Anza leo Ijumaa hadi Jumapili njoo ujionee ninachokiandika...
  11. Rungutira

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wa huru na haki

    Ni Kipi Kinakufanya unatoa conclusion ya Kufikirika kama hii.. So Uchaguzi huru na haki unajulikana mara tu baada ya wapiga kura kujiandikisha...Je wasimamizi or wapigakura wakikimbia na masanduku ya kura kabla ya kuhesabiwa kama ambovyotumeshuhudia chaguzi zilizopita... Tuambie msimamizi wa...
  12. Rungutira

    Dodoma kwa kasi hii miaka 4 itaipita Arusha

    Bila Picha ya Kuthibitisha uyasemayo ni sawa na Mwanamke asiyena Makalio Kuvaa dela..
  13. Rungutira

    Huyu ndiye Rafael Caro, achana na Pablo Escobar

    Lete Tunasubiria story za awa watemi...
  14. Rungutira

    Usiku wa mauzauza ya CHADEMA

    Mleta Mada ni mzushi na inaonekana anatoa comment zisizo na mashiko. Naona kama anafanya kampaini vile while kila mtu anajua kinachoendelea kwenye nchi hii. Maovu wafanyiwe wapinzani na tuhuma ziende kwa wapinzani- Shame on you ndugu.....Tuambie Mawazo (RIP) ambaye hayupo tena na aliyelawitiwa (...
Back
Top Bottom