Nina Diploma natafuta kazi yoyote

Nina Diploma natafuta kazi yoyote

Joined
Sep 5, 2019
Posts
19
Reaction score
16
Habari zenu wakuu

Mimi ni binti miaka 23 naishi Dar natafuta kazi yoyote ya halali mkoa wowote[emoji1431]. Hata ya kujitolea tu nipo tayari. Elimu yangu nina Diploma in Procurement and Supply Management.

Nina imani nitasaidiwa humu.

Asanteni.
 
Samahanini kwa wale mnaonipm kua nilipie ili niunganishwe moja kwa moja kwenye kazi
Ndugu zangu kweli na shida tena sana ya kazi ila PESA SINA Yani kama unaona kuniunganisha mpaka nilipie naomba usinipm maana SINA HELA
 
Back
Top Bottom