Recent content by Ruhusu Mpango wa Mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaongezeka zaidi tarehe za mshahara tu

    Mfungulie mradi Wa kufuga mabataa au kuku Wa nyama awe bize na kuku. Nyingine tafuta nguruwe wakubwaa wawili Wa kuzalisha vitoto.Akipga mzinga unamwambia subiriri vitotoo vikue.Atakuwa anauza kutokona na anachozalisha ndo atume kwao
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni bidhaa adimu sana Tanzania

    MUAMINIFU kiwango cha juu nipo.Ukipenda sema nikutafutie wawili watatu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kozi gani bora kusomea wakubwa kwa sasa msaada

    Soma afya alafu tafuta machimbo nje ondoka nchini
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    Safi kama wewe in seremala au fundi ujenzi sema
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    Una fani gani?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Thread maalum kukumbushana michezo ya utotoni iliyosahaulika

    MCHEZO WA PIA Kupiga pia kwa mijeredi Funzzo Kuwa na maamuzi magumu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hatujui kesho yetu

  8. R

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uchague kimoja kati ya hizi project za Kilimo utachagua ipi? na why?

    Njombe na Iringa na baadhi kidogo sehemu za Mbeyaunachomeka machipukizi yanaota
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

    Kamwe sifundishi hiki.Ntafundishaa maaadili sitaki kuwa mtumwa Jehenamu na sehemu ya laana Kwa vizazi kuanzia kizazi changu mpaka cha tatu duniani maana laana hudumu vizazi vitatu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wapangwa watu safi sana shida yao hawana unafiki
  11. R

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Hakuna watu smart kama wapangwa kuanzia shule,kimaamuzi na hawalei watoto kuwa legelege.Ukipata mume Wa kipangwa kumpanda kichwani sahau. Pia ni watu waaminifu sana Wakisema no ni no kweli unafiki hawana. Walio wengi hawakimbiii ndoa.
  12. R

    JamiiForums Tanzania UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Nakusaiidia .Fikiria Udom imejaa Dodoma kutokana kuongeze Kwa wa.Has a tumefika Idadi ya watu million 80+ je udom itatosha. Pia ni fursa kiuchumi Mkoa husika inaitwa WIN WIN Jikite hapa Kwa kina ikibid Google utaelewa vizuri Mipango ya muda mrefu Mipango ya muda mfupi Mipango ya muda Wa kati
  13. R

    JamiiForums Tanzania Stuka, kila mke/mume ofisini ana bebe wake

    Hii kitu.ukiolewa au ukioa acha zinaa za ofisini.Mpe Yesu maisha.Utayashinda tu haya
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uchague kimoja kati ya hizi project za Kilimo utachagua ipi? na why?

    Project ya Kilimo cha matunda Mfano apple unachomeka machipukizi na wewe unakazana kulima tu mazao mengine humo humo mfano mahindi baada ya miaka mitatu unamiliki eka ya apple
Back
Top Bottom