Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
851
1,887
Hello,

Nitumie njia ipi nifanikiwe kwenda kufanya kazi nchi zenye fursa kama USA, CANADA, UK, GERMANY.

nina background ya afya.

Ila natamani niingie kivyovyote vile professional ninaweza kuitumia baadae.

Kitu nilichofanikiwa kupata mpaka sasa.
  • Passport.
  • Document za shule.
Je, vitu gani vya muhimu ili niweze kutimiza ndoto yangu wakuu ndani ya mwaka huu 2024.
 
Hello.

Nitumie njia ipi nifanikiwe kwenda kufanya kazi nchi zenye fursa kama USA,CANADA,UK,GERMANY.

nina background ya afya.

Ila natamani niingie kivyovyote vile professional ninaweza kuitumia baadae.

Kitu nilichofanikiwa kupata mpaka sasa.
Passport.
Document za shule.

Je vitu gani vya muhimu ili niweze kutimiza ndoto yangu wakuu ndani ya mwaka huu 2024.
Boss una background ya afya katika fani ipi? Unaweza kuwnzia ata dubai wanatoa Golden visa kwa watu wa afya , ambayo inakupa access ya kuhamia wew na familia yako pia unakua una access services as indegenious
 
Hello,

Nitumie njia ipi nifanikiwe kwenda kufanya kazi nchi zenye fursa kama USA, CANADA, UK, GERMANY.

nina background ya afya.

Ila natamani niingie kivyovyote vile professional ninaweza kuitumia baadae.

Kitu nilichofanikiwa kupata mpaka sasa.
  • Passport.
  • Document za shule.
Je, vitu gani vya muhimu ili niweze kutimiza ndoto yangu wakuu ndani ya mwaka huu 2024.

Kuna dem mmja anafanyag hizo mambo yupo cananda ila ukitak akupe mpk connection mpk umlipe
 
Hello,

Nitumie njia ipi nifanikiwe kwenda kufanya kazi nchi zenye fursa kama USA, CANADA, UK, GERMANY.

nina background ya afya.

Ila natamani niingie kivyovyote vile professional ninaweza kuitumia baadae.

Kitu nilichofanikiwa kupata mpaka sasa.
  • Passport.
  • Document za shule.
Je, vitu gani vya muhimu ili niweze kutimiza ndoto yangu wakuu ndani ya mwaka huu 2024.
Uende huko kote mbali Kufanya nini wakati Waziri mmoja wa awamu hii alishawatafutia nchi ya Burundi?,Nenda Burundi bhana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom