Recent content by Ruhita Jr

  1. R

    Je, Msajili wa vyama vya siasa anao ubavu wa kuifuta CHADEMA?

    Tusiumize vichwa vyetu kujadiri vitu visivyowezekana, ajaribu aone Mbwa huyo!!
  2. R

    Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

    Jamani kwa nn wasimtoe? Yani hao ccm wana ROHO mbaya kweli! Wanadhani watatawala mpaka mwisho wa dunia! HAIWEZEKANI.
  3. R

    Makao Makuu Jeshi la Polisi walipomtembelea Lema

    CCM wanawaonea wapinzani sana, utasema NCHI hìi ni ya kwao peke yao! Yani mie wananiuudhi basi tu, MUNGU tuokoe na JINAMIZI hili.
  4. R

    Ushahidi wa serikali yetu kufilisika huu hapa

    CCM hawafai kabisa jamani.
  5. R

    CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

    Mfa maji haishi kutapatapa, CC Magamba bado mwahema tu! Mna roho ngumu nyie.
  6. R

    Ili kupata uzoefu zaidi Ridhiwani apewe nafasi gani serikalini?

    Kunyongwa tu Fisadi mkubwa huyo! Wakati wao wakiendelea kujirimbikizia mali, watoto wa walalahoi hawana hata madawati ya kukalia mashuleni, watanzania sasa hawana cha kujivunia ktk nchi yao, wamepoteza matumaini.
  7. R

    WABUNGE na Makamanda wa CHADEMA waunguruma Tabora

    Tuko pamaja baba piga ngoma. Mie pia npo hapa.
  8. R

    Kwanini rais wetu hatembelewi?

    Eti Mzurulaji anatembelewa? Teh,teh,teh,teh nzuri hiyo!!!!!
  9. R

    Mkutano wa wawekezaji - Rukwa

    Hata hiyo ya Tabora mjini sio lami.
  10. R

    Uzinduzi wa mbio za mwenge wa uhuru butiama aibu tupu

    Mie naomba kwa mnaofahamu mnifafanulie haya, 1 Kuna uhusiano wowote kati ya UV-CCM na Wakimbiza Mwenge? 2 Ni kwa nn ktk Shughuli mbalimbali za Kitaifa viongozi wa Vyama vya Siasa (WAPINZANI) hawathaminiwi?
  11. R

    CUF waibwaga CCM kesi ya uchaguzi Kilwa

    Bungara!!!!!!
  12. R

    LHRC yaitisha Maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS

    Me nasema wawalipe kwa 7bu hayo ndo Matokeo ya kuwa na Serikali Mbovu, Wala hakuna haja ya Mwananchi kuandamana, Mangapi tulipinga lkn serikali yetu ikayafanya kwa nguvu? Cha msingi tukubaliane na kila hali, NGUVU kubwa tuilekeze kwe Uchaguzi wa 2015, tuwafyatue hawa Magamba. "NCHI IMECHAKAA...
  13. R

    Mkosamali (MB) kuhamia CHADEMA

    Nchi ishakuwa Sandakalawe, me natamani Chaguzi kama hz zijitokeze mfululizo ili 2endelee kuwadumaza Magamba.
  14. R

    Post bango dhidi ya malipo ya DOWANS

    Muwalipe, msiwalipe, 2015 mtatakiwa mtuachie Tanzania yetu.
Back
Top Bottom