Je, Msajili wa vyama vya siasa anao ubavu wa kuifuta CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Msajili wa vyama vya siasa anao ubavu wa kuifuta CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Nov 15, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Msajili wa vyama siasa nchini anafanya kazi yake chini ya kivuli cha CCM kama ilivyo kwa tume ya uchaguzi. Kama tunavyoshuhudia CCM wanajaribu kuiburuza CHADEMA kwa kutumia kila mbinu vikiwemo vyombo vya dola. Lengo ni kufanya CDM Ionekane inatishia uvunjifu wa amani. Nawasiwasi kauli za uongo za viongozi wa CCM mara kwa mara kudai CDM inachochea vurugu na kutishia uvunjifu wa amani. Zinaweza kutumiwa na msajili wa vyama kama sababu. Kutokana na CDM kujizolea umaarufu mkubwa hivi sasa pamoja na kuteka mamia ya wafuasi. Je msajili anaweza kuthubutu?
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  akiifuta chadema ahamie KUNDUZ afganistan
   
 3. brightrich

  brightrich Senior Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Weeeeeee!! Tanzania kutakuwa hapatoshi!! aanze kufuta hicho "Chama Cha Mafisadi" kwanza ndo aje afute chama chenye uchungu na wananchi wake! People's Power!!!
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama Kaburu Matata alivyoifuta ANC. Unajua matokeo yake, walikuwa hapa Tanganyika.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  thubutu! Ataenda EXILE DARFUL!
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Akifuta atakuwa amejifuta pia.
   
 7. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Acha ajaribu aone moto wake.
   
 8. R

  Ruhita Jr Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusiumize vichwa vyetu kujadiri vitu visivyowezekana, ajaribu aone Mbwa huyo!!
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,558
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Hilo hata JK japo angetamani iwe hivyo,asingeweza kuliruhusu kwani ndiyo itakuwa kibiriti cha kuichoma moto Tanzania. Kama wamechoka kuishi wajaribu upuuzi huo.
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ananuka sana huyu mzee sijui ni kikwapa akiwa ofisini hata hatukai.
   
Loading...