Mkosamali (MB) kuhamia CHADEMA

Uchaguzi njoo fasta -- vpi wakuu hakuna njaa kule tujiandae kupeleka mahindi ya Msaada?
 
Nchi ishakuwa Sandakalawe, me natamani Chaguzi kama hz zijitokeze mfululizo ili 2endelee kuwadumaza Magamba.
 
Badilisheni sheria, ili mbunge akihama chama abaki na ubunge wake uone jinsi CCM itakavyopukutika. Au la, mbunge anapohama, aliyekuwa wa pili kwenye uchaguzi ndiye anatangazwa mbunge, hii nayo vipi?

Hii itakuwa imetulia na itapunguza matumizi yasiyo ya lazima...
 
mmmh, kazi kweli kweli..... kwa huu upepo unavyovuma tutakua na chaguzi nyingi sana!! kwani kila anaejua kusoma nyakati inabidi ahamie cdm nw. CCM is a sinking ship kwa hiyo kuendelea kuing'ang'ania lazima utazama nayo na by 2013-2015 atakua ameshachelewa na hatapokelewa cdm. Na kuanzisha chama kingine kiweze kusambaa kama ilivyo cdm sasa ni kazi.
 
Mkosamali, "Tekana mwenewachu" pigania yanayowezeka maswala ya kuhama hama hayana mpango! Si kuna tetesi kuwa umetokea cdm wewe! Tulia kama kurudi,rudi 015 usitusumbue wananchi wako na maswala ya uchaguzi mdogo!

He is smart than you do bro/sisy.
wahamiaji wa last minute hawatapata nafasi za kugombea kupitia CDM 2015.
 
NI kwene..natekane, 2015 ni hofi chane. ndamenya niho tusubhiye ulalonka! tekana mwenewachu, 2015 ntiyo kulele!!!
ugomba tuvunagulane amagulu twali twashimye ngne uhaye ubhikozamwali liya shengeo dyo dodoma? hakabhaali mbatia akukuleye bhibhi, tekana, umusi wushise ugend ichadema, natwe abhashingantahe, tulokwambika impuzu tuguhezagile usubhilemeo kandi.
Ngilango ulanyumvishe mwenewachu!
Tugile umwami...umwami ni wu bhuhoro!.....
Nankane wa se bhiheko!!!!!!!

hapo umemaanisha nini?????????????????????
 
Badilisheni sheria, ili mbunge akihama chama abaki na ubunge wake uone jinsi CCM itakavyopukutika. Au la, mbunge anapohama, aliyekuwa wa pili kwenye uchaguzi ndiye anatangazwa mbunge, hii nayo vipi?
Kwa mtazamo wangu hii sheria itawaumiza wapinzani kuliko CCM.Kuna wabunge wengi tuu upinzani ambao madhumuni yao sio kuwatumikia wananchi bali ni kujikimu na maisha na kuitwa mbunge na CCM hao wapo tayari kutumia kiasi chochote cha pesa kwa jambo lolote ambalo litadhoofisha upinzani.

Vilevile itawapa kiburi baadhi ya wabunge wa upinzani kutowaeshimu viongozi wao na kanuni za chama wakijua wakati wowote wanaweza kuhama na kuendelea kuwa wabunge.Kwa mfano Shibuda kinachomfanya kuendelea kuwa upinzani ni kuogapa kutopata ubunge tena.
 
Hizi chaguzi ndogo gharama zake tunalipia sisi wananchi.....sio fair kuwa kila mbunge akijiskia kuhama chama wananchi tugharimike
If you think democracy is expensive try dictatorship where election is regarded as wastage of money, time and resource.
 
Daaa kila Mtu ana akili zake lkn ni vyeema Mtu ukakaaa mahala ambapo utapata aman ya Moyo wako na ukafanya kazi vile ulivojaaliwa.Ushauri atulie na kuyamaliza na Mwenyekiti wake ikishindikana kabisa basi ndio afanye Uamuzi huo

Well said ndugu yangu, comfortable atmosphere creates efficiency in job place
 
Mimi akili yangu inashindwa kuelewa mantiki kwamba uchaguzi mdogo ni gharama. Hayo ni maneno ya wana magamba kwani wanajua chaguzi ndogo zinazidi kuwapunguzia umaarufu.

Hivi Mkosamali akitoka na uchaguzi mdogo ukafanyika ndio tutapata maji? umeme wa uhakika? barabara zitajengwa? Nchi hii inahitaji kujengwa upya hivyo suala la gharama sio issue sana. Afterall kugharimia chaguzi ndogo ni bora kuliko kulipa Dowans.

CDM endeleeni kumshawishi huyo dogo atoke huko; chaguzi ndogo zina manufaa zaidi kwa CDM katika harakati za kujenga chama. CCM wanafahamu moto wa CDM hivyo hawataki kupambana tena kabls ya 2015.

Dogo kama huna amani huko na hawakujali usipoteze muda, tii dhamiri yako na utoke haraka sana.
 
Majina mengine ni tatizo, Mkosamali katu hatapata mali japo anasaka mali. Huyu atakuwa mchumia tumbo tu. Hawa ndio watu wasio na uchungu na fedha za wavuja jasho kwa sababu anataka Serikali itumie mamilioni ya fedha kuendesha uchaguzi mdogo.
 
NI kwene..natekane, 2015 ni hofi chane. ndamenya niho tusubhiye ulalonka! tekana mwenewachu, 2015 ntiyo kulele!!!
ugomba tuvunagulane amagulu twali twashimye ngne uhaye ubhikozamwali liya shengeo dyo dodoma? hakabhaali mbatia akukuleye bhibhi, tekana, umusi wushise ugend ichadema, natwe abhashingantahe, tulokwambika impuzu tuguhezagile usubhilemeo kandi.
Ngilango ulanyumvishe mwenewachu!
Tugile umwami...umwami ni wu bhuhoro!.....
Nankane wa se bhiheko!!!!!!!
Ulachumise...
 
kuna watu wana ID mbaya ambazo zina-reflect mawazo yao......
 
Hizi chaguzi ndogo gharama zake tunalipia sisi wananchi.....sio fair kuwa kila mbunge akijiskia kuhama chama wananchi tugharimike
Mi nadhani kwenye katiba mpya tupendeze, kama mbunge anahama chama aendelee kuwa mbunge kwani mbunge kachaguliwa na wananchi na sio chama.
haiwezekani wananchi wamchague alafu katika chama watu wachache na kwa sababu zao waseme hawakutaki alafu uachie ngazi hadi ubunge na kuliingizia taifa gharama zisizo na lazima za uchaguzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom