Mkutano wa wawekezaji - Rukwa

kikwete; we put very high regard to investors...the gov will help you succeed...am sure you will never regreat
 
Du! MKuu anatema brocken ile mbaya.hii lugha ya malkia inampiga chenga kidogo huyu daktari wa magogoni.
 
Hapo zamani za kale kulikuwa na mtu mmoja (Mtawala ) nchini Ujerumani , huyu aliitisha mkutano wa wawekezaji mjini Berlin kwa ajili ya kuligawa bara la afrika!

Lengo la kugawa bara la afrika katika wakati huo halina tofauti na kinachjoendelea hivi sasa katika huo mkutano wa Rukwa! tofauti iliyopo hivi sasa ni kluwa mtawala anayeongoza mkutano wa sasa ni mwafrika wa eneo moja la Afrika ambaye anataka kuyatoa maeneo ya waafrika wenzake kwa wanaoitwa wawekezaji ambao ni sawa na wakoloni walioikalia afrika viivyo baada ya mkutano wa Berlin

Tofauti nyingine ni kuwa idadi kubwa ya wanaohudhuria mkutano huo ni waafrika walioridhia kwa nguvu zote kuwa wao hamnazo kwa namna yoyote kuwa wanaweza kufanya huo ukwekezaji zaidi ya wageni.

Nafurahi zaidi anavyojaribu kumuenzi mtawala wa wakati huo wa Ujerumani kwa kueleza mikakati ya kuiboresha mel;i ya Mv Liemba, wakati siku chache zilizopita alituahidi kujenga meli mpya za kwetu sisi!

Aidha mkutano huu unafafana na ule wa berlin kwa lugha inayotumika, nina hakika kwmaba Kiingereza kilitumika pia katika mkutano ule wa 1884-1885 ili kuwezesha kuchukua raslimali za waaafrika

Leo zaidi ya miaka 100 baadaye ukoloni umefikia kiwnago cha juu zaidi badala ya wazungu kukaa nje ya afrika kuipora afrika, mikutano hiyo inafany6ika afrika ili kuwapora waafrika!

namuona sasa Mtawala anaanza kutumia kiswahili. naumbuka tukio la miaka kadhaa mjini mwnaza ambapo mzungu mmoja kutoa Uholanzi alikuwa akiendesha mkutano kwa kuchanganya kisukuma na kiswahili, Bila kuweka Kiingereza lakini waswahili na wasukuma waliohudhuria walikuwa wakitumia kiingereza!

Utumwa mbaya kabis aambayo umewahi kumbuka mwanadamu ni utumwa wa kiakili
 
mkulu kasema mpaka mwisho wa mwezi huu katavi itakuwa mkoa kamili....
kuvutia wawekezaji ni ajenda kubwa ya serikali kwani bila wao hakuna maendeleo....
 
Most of the staff employed at the hotel must be Chinese, and the resources needed to run the hotel must be bought from local producers, ensuring that local people benefit from the new jobs on offer. Because the hotel is jointly owned, its profits are shared between the foreign and Chinese sides. In this way, China has managed to use foreign investment to its maximum advantage.

By contrast, many hotels in the Caribbean are 100% owned by the foreign firms who run them. Often the only jobs available for local people are as poorly paid cleaners or other low-level staff, since the managers come from Europe or the USA. Much of the produce on sale at the hotel will have been imported from abroad, leaving fewer opportunities for local firms to develop as suppliers. As a result, it is estimated that 80% of the profits from tourism are whisked out of the Caribbean altogether.

Mkuu tena bora hao wawekezaji wa ma-hotels au viwanda vya kuprocess products into finished articles, angalau sana.., ila sisi tutanauza hata ule uzalishaji wenyewe yaani hapo hatuna say kabisa (kazi ambayo ingeweza kufanywa na vyama vya ushirika..) hii nchi we acha tu..:(
 
mkulu kasema mpaka mwisho wa mwezi huu katavi itakuwa mkoa kamili....
kuvutia wawekezaji ni ajenda kubwa ya serikali kwani bila wao hakuna maendeleo....

Mpaka sasa kuna mazao yanaoza kule vijijini sababu hakuna miundo mbinu.. (hao wawekezaji wanakuja kujenga barabara au wanakuja kuchukua ardhi ambayo ipo karibu na soko ili waweze kuwauwa wakulima vizuri...

Planning ya hii serikali ni mbovu mno watengeneze miundombinu na kuwekeza kwenye ushirika wa wananchi ili kufanya kilimo cha kisasa (ni kiasi gani cha pesa kinatakiwa ambacho serikali haina...??)

Hapa ni kutafuta 10% na kusolve long term problems kwa kutumia short cuts
 
Mkuu tena bora hao wawekezaji wa ma-hotels au viwanda vya kuprocess products into finished articles, angalau sana.., ila sisi tutanauza hata ule uzalishaji wenyewe yaani hapo hatuna say kabisa (kazi ambayo ingeweza kufanywa na vyama vya ushirika..) hii nchi we acha tu..:(

While I share with you some of the sentiments, I think with globalisation, the one way to gain in investments is to check out such global companies and become a shareholder and monitor the investment strategically.
 
Kabwe zito ni kibaraka wa magamba haiwezekani kira mara yeye kuwa karibu na magamba kiasi hicho.msaliti mkubwa huyu kaisha hana jipya tena
 
No workforce ( skilled and semiskilled labour), what do you expect? We don't have the capital just because few individual are robbing everything with poor management. In korea, if you employ a foreigner along aside with a korean, a korean must be paid high salary compared to a foreigner and that is law each company has to obey it.
 
While I share with you some of the sentiments, I think with globalisation, the one way to gain in investments is to check out such global companies and become a shareholder and monitor the investment strategically.

Mkuu we need global companies in technology sectors, we need global companies in things we cant do.., we need global companies if they can to come here and build their industries to increase employment.

What we don't need is to give these people our fertile land to till (something which even the local mkulima has been able to till the land with jembe la mkono na kulisha nchi).. We dont need this global companies to do something which we can do ourselves and keep all the profits..!! How much does it cost ku-invest kwenye umwagiliaji (and some places we dont even need kumwagilia..!!) how much does it cost to buy combined harvesters and big machines which can till the land night and day... mhhh Okay tell me hatuwezi kuwa na vyama vya ushirika vikafanya hayo hapo juu...

Kwanini tuweke rehani mtaji wa wajukuu zetu...!!??? (hii ni kama mtu mtaji wa pesa unao, unaweza kuzalisha mwenyewe lakini unaita jirani akuzalishie ili mgawane mapato.., tena wewe akupe kidogo..)
 
Kikwete na serikali yake ni waongeaji saaaaana,kama wangekuwa wanayatekeleza haya tungekua mbali lakini Kushney hakuna kitu,mipango miiingi utekelezaji F.Hakuna kitu.
 
Kabwe zito ni kibaraka wa magamba haiwezekani kira mara yeye kuwa karibu na magamba kiasi hicho.msaliti mkubwa huyu kaisha hana jipya tena

He is working hard to least boost the Lake Tanganyika zone. Unaweza kuona jinsi gani haya maeneo yalivyo nyumba kimaendeleo, kwa hiyo mkuu tuliza mzuka muache afanye anayoona yanasaidia hayo maeneo.

Kwa upande mwingine, huwezi kuwa ngangari tu wakati muda unaenda na kuna uwezekano wa kutumia fursa unayokutana nayo kama hivi. Kwa hiyo mimi ninavyoona, Zitto anachofanya ni kutumia fursa aliyonayo kuwashawishi wazee wetu wa nchi ili kuipromote hiyo mikoa ya kusini.
 
Zitto ni CCM! Kwani humjui?
Yule anaandaliwa uwaziri 2015! Nafikiri hana muda mrefu CDM
Mkutano kama huo iweje asihudhurie wakati unahusu mkoa wake pia?? Uwepo wa Mhe. Zitto kwenye mkutano huo kwetu sisi ni faraja
 
Mkutano kama huo iweje asihudhurie wakati unahusu mkoa wake pia?? Uwepo wa Mhe. Zitto kwenye mkutano huo kwetu sisi ni faraja

Mkutano umeandaliwa kuendeleza sera na manifesto ya CCM. Zitto anahudhuria kama nani hasa? Mbona mwenzake Kafulila hayupo. Huyu jamaa mimi huwa simuamini kabisa na undumilakuwili wake.
 
Kwenye mkutano wa wawekezaji unaorushwa live na tbc kn sharobaro kavaa suti ya dack blue kasimama anasema yeye ataongea kwa kingereza kwani kn wazungu wengi watu wasomi hm kwenye mkutano wanajidai hawajui kiswahili, eti anasema akimaliza kuongea kwa kingereza atatafsiri kwa kishwahili, hii ni sawa jamani? WATU WAPEWE ARDHI YETU, BD NA LUGHA YT NAYO IDHARAULIWE MBELE YAO? kwanini asiongee kiswahili kwanza kingereza kifuate?

The beggar is subject to the lander.....Mkono unaotoa lazima uwe juu wa ule unaopokea....Masikini Nyerere na ideology yako ya self reliance ona uliowaachia wosia wameuchakachua dah!
 
Mkutano umeandaliwa kuendeleza sera na manifesto ya CCM. Zitto anahudhuria kama nani hasa? Mbona mwenzake Kafulila hayupo. Huyu jamaa mimi huwa simuamini kabisa na undumilakuwili wake.
Mwita ni bora uweke tu wazi kwamba wewe una chuki binafsi na Zitto. Zitto anahudhuria kama Mbunge wa Kigoma Kaskazini, au mwenzetu haujui hata huu mkutano ni wa nini?
 
Mwita ni bora uweke tu wazi kwamba wewe una chuki binafsi na Zitto. Zitto anahudhuria kama Mbunge wa Kigoma Kaskazini, au mwenzetu haujui hata huu mkutano ni wa nini?

Mkuu jaribu kuangalia chanzo cha huu mkutano. Huu mkutano upo kwenye manifesto ya CCM ya uchaguzi ya mwaka jana. Sasa mwenzetu Zitto anatekeleza ilani ya Chadema au CCM?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom