Recent content by rudovick

  1. rudovick

    Vipimo vya COVID19: Dr. Mwele na Dr. John Nkengasong(Africa CDC) walitumika kupotosha ukweli wa kisayansi (wasaka tonge kazini)

    Ashante kwa maelezo ya kitaalamu , wengine tumeambulia elimu nzuri sana. Ila naomba nisaidie kuelewa mambo yafuatayo 1. Kwa mfumo wa upimaji Tanzania ninavyoelewa umeratibiwa na wizara ya afya kupitia hospital teule, kwanini unaelekeza lawama kwa maabara ya taifa baada ya wizara husika maana...
  2. rudovick

    Kenya wana uwezo wa kupima watu 35,000 kwa siku, Tanzania uwezo ni 500 kwa siku, ni aibu na fedheha kwa taifa tajiri kama hili

    Leo Nimeiona waziri wa Afya wa Kenya anatoa updates na strategies. Hamna mtu anaweza kuwa na mashaka na data na juhudi za viongozi. Inatia moyo na inakupa matumaina, that is high level of intergrity Return Of Undertaker, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. rudovick

    Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

    Thanks mkuu P Ila ngoja nikuambie, mie sio mchangiaji sana hapa jukwani ila ni msomaji mzuri na moja ya watu ninaosoma kila wanachoandika ni wewe. Ila naanza kuhisi umakini na uwezo wako umetekwa ( upo ila unalazimisha kutotumia). Hizi ni sababu zangu 1. Hakuna proposal ya total lockdown...
  4. rudovick

    Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

    Nikweli Mkuu , uwezo wa watu kufikiria na kutafakari mambo umekua duni sana au watu wanaamua kuongea ili kujifurahisha. Tujiulize wale wenzetu waliolazimisha jana kutoka hospitali, hapo tutafakari siku zamu yetu ikifika. Hakuna ukweli wowote kuhuse taarifa za wagonjwa ( Zero data...
  5. rudovick

    Mwenye uelewa na masuala ya mikopo Benki naomba anieleweshe suala hili

    Maelezo mazuri mkuu, mtoa mada fuata ushauri huu Kuna tofauti ya loan balance ( outstanding loan ) na disbursed loan amount. Kwenye barua imeonesha loan balance yani salio la mkopo na sio disbursed loan. Pili yawezekana mkopaji alikua kwenye ucheleweshaji ( arrears) kwa muda flani maana hivyo...
  6. rudovick

    Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

    Umeongea kitu kizuri sana mkuu DenooJ Shida ya taasisi za umma yingi ni kijiona wanayo haki ya kupata taarifa zozote za mwananchi sehemu yeyote na muda wowote., sio sahihi kabisa. Nitatoa mfano kidogo No 1. Mtumishi wa TRA anaona anayo haki yakuandikia mabenk ili apate taarifa za pesa za...
  7. rudovick

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Muheshimiwa Mwigulu. Tunaomba kwa kuheshimu uzi ambao wewe umeuanzisha utolee ufafanuzi hapa ili sisi tusioelewa kabisa ambao ni wengi tuweze kueleweshwa na hatimae tuelewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. rudovick

    Utata muda wa kazi: Bosi amenitaka nifanye kazi 12hrs kila siku kwa siku nne mfululizo ndio nipumzike siku tatu

    Uko sahihi sana mkuu Katika mazingira ya kazi ukianza kutafsiri sheria moja moja mwisho wa siku mfanyakazi ndio anaumia. Ukishakua na tabia za kivivu muda wote unaangalia opportunity za kupata off time. So anachokitaka mleta mada ni tabia ya uvivu
  9. rudovick

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Nimeipenda hii, huduma ya kutumamikoai ipo?
  10. rudovick

    Natafuta mume

    Miaka 25 ....... Mcha Mungu..........Mtoto mmoja.......... ...................????????????
  11. rudovick

    Yanapouzwa mashati ya batiki na vitenge kwa wanaume

    Muone huyo Yuko msimbazi Centre yuko vizuri sana 0717005592
  12. rudovick

    Binafsi sijaielewa hii picha

    Kwa jinsi anavyoonekana hapo Mkuu ni kuwa anamlazimisha kununua na amemvisha kumuonesha mfano anavyotakiwa kuwa anapokua anafanya biashara Hivyo had wengine wanashangaa kwa huzuni Ndio maana hata mwenye hiyo ID hana amani Safari ni ndefu yenye milima na mabonde
  13. rudovick

    CAG sio Muongo kwa vigezo hivi

    Shukrani mkuu Mayalla Nimefurahi umekua ukisisitiza vuongozi kupimwa afya ya akili mara kwa mara. Hili naliina ni jambo la msingi sababu mtu anaweza kupotezea uwezo wa kufikiria as time goes. Ni wazo muhimu lisilotiliwa mkazo na watanzania kwa sasa but muda unavyosonga umuhimu wa hili suala na...
  14. rudovick

    Nafasi ya kazi katika Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited - MeTL, Quality Control

    Shida amesema experience of 5 years. So hapa ndio kwenye shida kwenye hilo tangazo kwa mtazamo wangu. How can someone with 5 years of experience work for Tsh 800k gross salary Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom