Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu kuweni na huruma jamani hawa ni watanzania wenzenu na sio ng'ombe, hichi mnachowafanya hawa wamama sicho mlichoahidi kwenye zile kampeni zenuMuro anamsifia huyo mama kwa kulipa kodi ya serikakli na alikuwa anawaelimisha hao wafanya biashara umuhimu wa kulipa kodi bila shuruti