godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Wakuu naishi Kibaha, Mkuza Nina ndugu yangu mpenzi sana wa mashati ya batiki na vitenge. Tafadhali kama kuna yeyote ana fahamu yanapopatikana anijuze tafadhali na bei yake. Yawe yameshonwa vizuri. Nawasilisha Wakuu kwa majibu yenu.