Ndio Nyerere alifanya ujinga/upumbavu kukubaliana na hili pamoja na mapungufu mengine katika huu Muungano. Nyerere alikuwa binandamu kama sisi wote tuna ujinga na upumbavu wetu. Huu Muungano ni mbovu na wa kijinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.