verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,143
- 6,244
Haters wanapita kimya kimya 








Mudrky bhana anajipakulia minyama tumudryk anavyoipenda Arsenal yuko tayari hata acheze bure.
Huyu Dogo mechi na Man u atakuwa tayari kashatua
Kwa nini hukujilalia?? Mambo mengine ni kujitakia...wewe unaona kabisa arsenal wako kwenye mission unaweka mguu??Hawa west ham ni misukule kabisa...hata ndanda asingepigwa comeback ya hivyo aaaaarrgh nilale sasa
Tight affairs...Next Brighton , Newcastle ,
If we can win these two games, will be a wonderful a wonderful, wonderful December and January.Next Brighton , Newcastle ,
Lile goli lake kalifunga kibabe mnoNunez kaweka kumbu kumbu ya pekee kama striker! Inasemwa kuwa ndio mshambualiaji wa kwanza kupata nafasi 12 nzuri kabisa na hakuweza kuweka goli
Eddie Nketiah is The Better finisher than Darwin Nuñez.
Ila watu watamprefer Nuñez kwa sababu he is not a home grown player na amenunuliwa €100m
Mimi kwa mtazamo wangu naamini Sasa ,Baada ya kuwaangalia Sana nketiah na JesusLile goli lake kalifunga kibabe mno







What a baller!Martin Ødegaard vs. West Ham:
93% pass accuracy
81 touches
60 passes
12 passes into opposition box (most on the pitch)
7 x possession won
6 duels won
6 shots (most on the pitch)
5 chances created (most on the pitch)
2 take-ons completed
2 assists
1 nutmeg![]()
Umeandika kwa uchungu sana,poleNyie matakataka huu musimu mutashaini kimtindo ila baada ya hapo mutapoteana kabisa ..takataka nyie


Pole sanaNyie matakataka huu musimu mutashaini kimtindo ila baada ya hapo mutapoteana kabisa ..takataka nyie
Maumivu yakizidi pata ushauri wa daktari sisi ni dozi juu ya dozi hakuna kima atasalimikaHizi Kima huu mzunguko wa pili hakuna rangi zitakazoacha kuona.
Sasa hivi ni mwendo wa kugongwa home & Away mpaka zirudi kwenye nafasi ya 13.
# Kataa wahuni

Ukiona fabiansk anafaidi mlete kipa wako mechi bado zipo nae atafaidi tu kuna mtoto mshenzi anaitwa mudryk ni balaa jingine linakuj kuwafunza adabu mtanyooka tu kimyakimyaBodi ya Westham inakaa leo kumjadili aliekua kipa wa Arsenyani Lukasz Fabiansk, bodi inadai kwa makusudi kabisa Fabiansk aliwahujumu kwenye mechi yao ya jana dhidi ya Nyani.
Pia kuna uwezekano mkubwa FA kumpiga faini au kumfungia mechi kadhaa.
Nyie kima acheni kutoa rushwa kwa wachezaji wenu wa zamani wanaocheza katika vilabu vingine kwa sasa, huu ujinga mnaofanya utasababisha wachezaji wenu kutouzika kwa kuonekana ni mamluki.
Kwa uhuni mlioufanya kwa Fabiansk kampeni ya "Kataa Wahuni" sasa hivi ndio itapata nguvu kubwa.
#Kataa wahuni