joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,843
- 39,466
Huyu kipa leo katubeba
Huyu kipa leo katubeba
Just a game for young playerSaka out, Pepe in.
Saka anabidi a-improve finishing zake.
What's wrong with pepe nowadays?Pepe anahitajika


.
Man of the Match asee jamaa kaokoa michomo ya hatari.
Bonge la save.
Lkn mbona muda ambao tumepata yale magoli mawili timu ilikuwa vzr sana ila baada ya hapo ikawa kama wameingiwa uoga wa kuchomolewa yale magoli ndo wakaanza kulinda na dk 15 za kwanza za kipindi cha pili ndo hali ilikuwa mbaya zaidi. Lkn kwangu mimi kilichokuwa kichwani mwangu ndo hicho kimetokea.Tupo ile stage kwamba tunachohitaji ni points haijalishi tumezipataje.
On to the next one against Watford
Huyo km kweli ni mwana-arsenal basi huwa anaangilia mechi kwa mahaba yaliyopitiliza hivyo anashindwa kufanya uchambuziTukubaliane na computerarsenal au tunyamaze tusubiri siku atakayoanza matusi kama kawaida?