Recent content by ruaaika

  1. ruaaika

    JamiiForums Tanzania LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

    Lijamaa ni balaa,,
  2. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Olimpiki Tanzania imezimwa, tunahitaji mabadiliko ya haraka kwenye uongozi wa michezo….

    Sjui hata ni nini tunaweza!
  3. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Huu mgogoro japo unakataliwa kuwa haupo kiasi hicho ila ni kitu ambacho kitaleta matatizo makubwa hatakama sio leo kisipo tatuliwa mapema, tuchukue mfano wa Ethiopia na Eritrea kwenye mgogoro wa mpaka unazua vita mara kwa mara.
  4. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Acha unazi na upotoshaji kwa mawazo mafupi.
  5. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.

    Pole sana wafiwa!
  6. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii fainali!!
  7. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Yanga vurugu tupu!!

    Nakubaliana nanyi Uyanga na Usimba ndo watupeleka kubaya kisoka, lakini nadhani suala la udhamini wa timu ni mbinu za uongozi wa club husika, mdhamini wa ligi ndo analazimika kuhusika na timu zote zinazoshiriki ligi husika, na ndivyo ilivyo Dunia nzima.
  8. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata rais kama JK

    Aisifiae mvua,,
  9. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    Nadhani tuna hitaji kukusanywa kwa pilau, kanga na fulana ili pia tuelimishwe kuhusu uozo wa uongozi wetu.
  10. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    Yaani acha tu ndugu yangu, kibaraka mmoja anayejidai anatumia sana busara katika kujibu hoja, lakini wapii, anajiaibisha tu kwa kauli zake za kizandiki, kutoka katika kichwa chenye upeo finyu!
  11. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndio JK Bana!!!!!

    Kweli Tuu shamba la bibi a.k.a kichwa cha mwenda wazimu, yote haya yanaendelea nabado tuna zidi kutia juhudi katika kukunjia mkia tumboni kwa kutishwa na ndugu zetu tunao endelea kuteseka nao 'Polisi'. Bila kijitambua bado tuna safari ndefu mno!
  12. ruaaika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa Republican Council wanataka nchi yao...

    Kimsingi mipaka aliweka mkoloni, sasa kuna taabu gani na sisi tukiweka yetu ambayo tunadhani itakua na manufaa kwetu?
  13. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hivi tumekubwa na nini? ni mmiliki au ufundi?
  14. ruaaika

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa jamiiforums wapewa tuzo

    ???????
  15. ruaaika

    JamiiForums Tanzania the story of chepe

    hahaa, iyo ramli ya kizungu!
Back
Top Bottom