LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

Bolt mzuri lakini kujishaua; mimi nimemkubali sana Sanya Richard Ross na ushindi wake wa dhahabu (100m- wanawake).
 
Gatlin and Tyson Gay got to share the bronze, 9.79 9.80 very minimal difference
 
...mimi nimewakubali sana waTZ kwa kufanikiwa kufika London. Keep it up!
 

Defending champion Usain Bolt burst out of crowded field to capture his second consecutive Olympic title in the 100m sprint in 9.63 seconds, with teammate Yohan Blake in 2nd and Justin Gatlin in 3rd
 

Defending champion Usain Bolt burst out of crowded field to capture his second consecutive Olympic title in the 100m sprint in 9.63 seconds, with teammate Yohan Blake in 2nd and Justin Gatlin in 3rd


490037_m21.jpg


loader.gif
David J. Phillip/Associated PressJamaica's Usain Bolt crosses the finish line in a men's 100-meter semifinal during the athletics in the Olympic Stadium.


490040_m21.jpg



loader.gif
Emilio Morenatti/Associated PressJamaica supporters react as they watch a broadcast of the women's 400-meter hurdles on a screen at the Puma Yard in London.




490110_m21.jpg


loader.gif
Associated PressBritain's Dwain Chambers, left, and Jamaica's Usain Bolt compete in a men's 100-meter semifinal during the athletics in the Olympic Stadium at the 2012 Summer Olympics, London, Sunday, Aug.


490118_m21.jpg

Matt Slocum/Associated PressJamaica's Usain Bolt, center, wins his men's 100m semifinals heat during the athletics in the Olympic Stadium at the 2012 Summer Olympics.


490156_m21.jpg


loader.gif
Britain's Prince William, left, his wife Catherine, the Duchess of Cambridge, and Britain's Prince Harry, right, applaud as they watch athletics.
 
Kashinda, ila kazi haikuwa ya kitoto...
Ushindani ulikuwa mkubwa sana baina yake na wakimbiaji wa USA!
 
Soooo waiting for Bolt tonight!!


Mama yaani mi nawafagilia sana wanariadha wa US but hili jamaa kila nikiliangalia basi nanyong'onyea.

Na hata wenyewe wanyamwezi wa US wameonekana wazi kukosa dawa ya Bolt.

Nilihisi Justin Gatlin atatoka kifungoni na miujiza lakini kachambia *****.
Tyson Guy nae ndio walewale, Shawn Crawford nae ndio ushuzi tu siku hizi...

Dah haya bana, pongezi nyingi zimfikie MR Mahatua Ussain Bolt.
 
Dah Jamiiforums ya siku hizi ya kichina kweli.
Yaani sioni tofauti kati yake na Facebook.
Hakika siku hizi ni nadra sana kuingia JF na kupata habari iliyoandikwa na kuhaririwa then ukaisoma na kuondoka na jibu au kitu...

Wengi wamekuwa wakurupukaji ili mradi tu waandike thread nyingi au wawe na post nyingi.

Nakumbuka kipindi cha nyuma aka kadhaa zilizopita ilikuwa ukikuta habari kama hii hapa JF basi utakuta maelezo yaliyojitosheleza, utaelezwa mshindi ni nani na amekimbia kwa sekunde ngapi na anatoka nchi gani, wa pili ni nani na wa nchi gani kakimbia kwa point ngapi, wa tatu ni nani na ni wa nchi gani na kakimbia kwa point ngapi...kisha wanakuja wale waliosindikiza nao watatajwa majina yao na nchi walizotoka.

Hapo ndipo tulipowaona kina John Drumond, Mourice Green, Tim Montigomery, Shawn Crawfold mpaka kizazi cha akina Justin Gatlin na wengine toka US, akawepo mkimbiaji toka Ghana Aziz Zakar, kisha akawepo Mr Power Dwain Chamber toka UK, then Jamaica walikuwa na Asafa Powell ambaye ndie alianza fanya mapinduzi ya riadha toka mikononi mwa wanyamwezi...

Lakini siku hizi hakuna habari kama zamani hapa JF...so kama hukufanikiwa kuangalia Riadha mita 100 fainali basi hutoambulia habari zaidi ya kutajiwa bingwa tu na labda mshindi wa pili....ila wamekimbia kwa point ngapi hakuna mtu aliyekokotoa hilo...

PUUMBAVU...
Ussain Bolt toka jamaica - 9:63 kavunja rekodi yake.
Yohane Blake toka Jamaica - 9:75 kaifikia rekodi yake.
Justin Gatlin toka US - 9:79 kaifikia rekodi yake aliyoiweka pindi alipokuwa anatumia madawa.
Sasa amefunguliwa na ameifikia tena, sasa hatujui.

Game Theory na Balantanda mnaona JF jukwaa la michezo linapoelekea?
 
Kwa wapenda kufukuza upepo muda mfupi ujao mjamaica maharufu atakua anafuza hewa wai kwenye tv yako sasa


Mkuu soma masahihisho...
1. Maharufu - MAARUFU.
2. Anafuza - ANAFUKUZA.
3. Wai - WAHI...

Ulikuwa unawahi nini na wapi?
Mkuu nimekuheshimu coz wewe ni senior expert.
Siku nyingine jaribu kuandika Thread ambayo imeshiba na itatoa mwanga hata kwa wale ambao wako mbali na Runinga zao ama hawajafisadi pesa za kulipia King'amuzi.

Niwie radhi kama nimekukwaza.
 
Huyu jamaa balaa amewahacha kwa mbali Washiliki wenzake .amekimbia kwa sec 9.87. Sasa bado fainal

MASAHIHISHO...
Amewahacha - AMEWAACHA.
Washiliki - WASHIRIKI.

Mkuu narudi kwako tena, hao washiriki wenzie aliowaacha mbali ni wakina nani?
Huoni kama ungetulia na kuleta orodha kamili ya waliokimbia katika nusu fainali hiyo thread yako ingekuwa hainuki haja kubwa?
 
Mt 3000 wanaume mkenya achukua dhahabu


Huyo Mkenya ni nani?
Najib Balala?
William Ruto?
Wanyama Mcdonald Mariga?
Profesa Peter Anyang' Nyong'o?
Mwai Gikonyo?

Na je mshindi wa pili ni nani?
Na ametoka nchi gani?
Na wa tatu je?
Na ametoka nchi gani?
 
huyu Usain hawajawahi kumchunguza kweli anatumia madawa..
 
Back
Top Bottom