Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

By Malawi News AgencyAugust 3, 2012 ·

Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Ephraim Mganda Chiume said on Friday that Malawi and Tanzania would resolve the border issue over Lake Malawi amicably.

Briefing journalists through a prepared statement that he read at the Central Office of Information (COI) in Lilongwe, Chiume said Malawi was engaged in discussions with government of the United Republic of Tanzania to resolve the issue.

Said Chiume: "The nation is hereby informed that there are on-going discussions between our two countries and that the Malawi Government is determined to reach an amicable solution with the government of the United Republic of Tanzania."

Chiume further said that Malawi has rightful claim to the whole lake basing on the Heligoland Treaty signed by Germany and Britain – Malawi and Tanzania's old colonial masters.

The treaty defines the border between the two countries as being the edge of the waters on eastern shore of Lake Malawi.


The position of the Heligoland treaty according to Chiume, was further reinforced and adopted by resolutions of the African Union in 2002 and 2007 and its predecessor, the Organisation of African Union (OAU) in 1963 that states that ‘member states should recognize and recognize and accept the borders that were inherited at the time of independence.'


The treaty in part, on article one states that: "German sphere of influence…to the South by a line which, starting on coast at the Northern limit of Mozambique follows the course of the river Rovoma to the point of confluence of the Nsinje; hence it runs westwards along the parallel of that point till it reaches Lake Nyasa [Lake Malawi]; hence striking Northward, it follows the eastern, Northern and Western shores of the lake to the northern bank of the mouth of the river Songwe."


Chiume: No cause for anxiety


The Foreign Affairs Minister who was flanked by Minister of Information, Moses Kunkuyu Kalongashawa, said that while they acknowledged Tanzania's claim to half of the Lake basing on common law,

"It is Malawi's position that the principle which Tanzania depends upon applies only where there is no treaty."


No cause for alarm

Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding issue.'

In the statement Chiume also condemned the misrepresentation in both the local and international media that there was rising tension between Malawi and Tanzania.

"This is far from the truth because we are discussing in an open and cordial manner with a view of reaching an agreement," said Chiume.


He also appealed to the media not to ‘cause unnecessary anxieties. Let us allow diplomacy to work,' concluded Chiume.


Malawi and Tanzania have had rival claims over the lake from post-independence times and this has come to the fore over the recent gas and oil exploration licenses issued out by Malawi.




4 Responses to "Malawi says lake row with Tanzania to be resolved amicably"


  • 4Ndirande Love Says:August 3rd, 2012 at 7:31 pm


    cd67717cd6059afc892609a8c7330f2a
    No cause for alarm : that is sounds silly to me. What is worrying is how weak and myopic you people are in dealing with foreign governments. Can't you see that the mess we have made in the African Unions means that we don't have that many friends to support us.

    This minister is a minister who was making silly and contradicting comments about the AU summit even after JB had said her government will make no further comments on the cancellation of the summit.

    Malawi owns the lake 100% and TZ has no place to claim an inch of it. The careless statements they are making are provocative and aint supposed to be taken lightly.

    Bingu started the drilling project but TZ did not say nothing becoz they knew how tough and influential the man was even in the African Union. they could not mess with that guy. Now TZ has seen how we kept on goofing with the African Union issue, they think it is now time for them to make a move. Abit Ntila will now stand at the podium and say ‘if I had my way I would have told TZ that they don't own the lake' or something like, ‘TZ should forgive us this time, the lake belongs to us' or worse still ‘On this issue I need to consult with my minister or will form a commission of inquiry.' - My word!!!!

    By the way, I own my Ipad, how would it be possible that I would enter into discussion about ownership with another person? What does amicable discussion mean over what belongs to me. Why not seek the AU and the UN involvement to sort the issue once and for all (like Argentina is doing with Britain). UN should declair that the lake belongs to Malawi. If talks are taking place between the two countries it means concessions are being made and no one in government can do that on behalf of Malawians especially the people that hail from the disputed area. There is nothing to talk about with TZ there!


    Well-loved. Like
    1_14_up.png
    11
 
Wananchi wao wanatuona sisi Dhaifu eti tulikuwa tunamuogopa Bingu Wa Mutharika... aliposaini mkatapa na kampuni ya

Gas na Oil sisi Tanzania tulikaa kimya tuu...

Nimeweka moja ya Maoni ya Wananchi wa Malawi; Kwanini tulikaa kimya wakati wa Mbingu wa Mutharika? na bado

Tukajazana kwenye Ndege kwenda kwenye Rambirambi?
 
Pan Africanism is dead, now we profess undying devotion to silly colonial borders. Count me out.
 
katika pekua pekua yangu nimepata kuona mahali kwamba Tanzania haina haki na ziwa Nyasa, tofauti na ziwa Tanganyika ama ziwa Victoria ambazo tunagawana maji na nchi kadhaa, lakini inasemekana kwamba Wamalawi wanadai kuwa Ziwa nyasa ambalo wao wanaliita ziwa malawi ni mali yao na mpaka halali ni ukingo wa ziwa na si ndani ya maji. je wana JF mnalionaje suala hili?


Tanganyika tusijewaonea bure Malawi hatuna chetu ktk ziwa Malawi zaidi ya bandari cha msingi tuzungumze nao vzuri kwa maslahi ya raia wenzetu walioko mipakani.
 
katika pekua pekua yangu nimepata kuona mahali kwamba Tanzania haina haki na ziwa Nyasa, tofauti na ziwa Tanganyika ama ziwa Victoria ambazo tunagawana maji na nchi kadhaa, lakini inasemekana kwamba Wamalawi wanadai kuwa Ziwa nyasa ambalo wao wanaliita ziwa malawi ni mali yao na mpaka halali ni ukingo wa ziwa na si ndani ya maji. je wana JF mnalionaje suala hili?

Kwa hivyo mpaka wa TZ na Malawi siyo "fixed" ni "mobile"? Maji ya ziwa yakihama na mpaka nao unahama?!!!
 
mkuu ulinzi na usalama wa mipaka yetu uko salama ni vyema kuelekea Ludewa,kyela,mbinga, ukajionee kwanza na sio kutoa lawama kwa serikali kwani serikali yetu hiko makini sana.


Mkuu mimisiamini kama iko salama kivile, labda nikaikague maana nilisikia kwamba ndege za wamalawi ziliingia mpaka kwetu bila ruhusa sasa sijui walinzi walikuwa wapi kipindi hicho. Lakini tunataka hawa wamalawi wakaae mbali kabisa na tanzania
 
Tupigane jamani, mi nakerwa saana na wanajeshi kuwa na vitambi. Wanajeshi wetu wamepumnzika sana kwa ajili ya hii amani hadi wanapoteza weledi wa kazi yao. Na istoshe haya mabomu tuliyoyanunua kwa bei mbaya yana expire bila kupata kazi, hamuoni kama huyu binti wa kimalawi anataka kuingia choo cha kiume akishupalia hiyo ishu?.
 
Mtu kama huyu kama angejuepo mpaka leo naona angalikwenda kuhukumiwa uholanzi, tumeskia mengi hata mlima wa KILIMANJARO ni wakenya.. uyu kweli alikua analitakia mema taifa hili la baadae? au aliona yeye atadumu milele kuwatawala watu kimawazo?
 
Huu mgogoro japo unakataliwa kuwa haupo kiasi hicho ila ni kitu ambacho kitaleta matatizo makubwa hatakama sio leo kisipo tatuliwa mapema, tuchukue mfano wa Ethiopia na Eritrea kwenye mgogoro wa mpaka unazua vita mara kwa mara.
 
mtanzania:

Ukiangalia ramani hiyo iliyowekwa na hume, uataona mpaka ulio ndani ya ziwa ni ule wa upande wa congo na malawi yenyewe lakini kwa upande wa tanzania mpaka unaonekana uko nje ya ziwa kabisa hali inayoonyesha tanzania haina kitu pale, je ramani hii unaizungumziaje?, na kwa nini mpaka ule umewekewa rangi nyekundu badala ya njano kama mipaka mingine?
mpaka wa congo na malawi?????
 
Huu mwaka vipi ?? Mbona tembo anasumbuliwa na nzi kila kukicha, mara hawa wala urojo na leo hawa mafala wamalawi, Huu mwaka ukiisha bila JWTZ kudunda mtu basi tushukuru. kwanza jeshi limekaa bila kazi kwa muda mrefu sasa na nina wasi wasi hata baadhi ya askari wetu wamesahau hata jinsi ya kusafisha bunduki. ukienda kwenye makambi unawakuta wanacheza draft tu.
 
Hii Migogoro lazima kuna watu wanacreate kwa maslahi yao binafsi. Mwaka jana tu Kenya na Uganda waligombea kisiwa, China, Japan, Philipenes nao wanagombania visiwa huko na sasa tanzania na malawi. Basi nao msumbiji karibuni watasema mto ruvuma ni wao na kenya watasema Mlima Kilimanjaro ni wao. Na viongozi wetu hawatoi tamko lolote ama ndo muendelezo wa udhaifu? Namkumbuka Mkapa waburundi walikohoa tu kabla hawajatema kohozi vifaru vilikuwa tayari mpakani.

Naomba usilaumu sana kwamba Serikali haijachukua hatua yoyote. Hivi ninavyoandika Majeshi ya Tanzania tayari yako KYELA. Kila siku vifaru na zama nyingine nyingi za kijeshi zinawasili KYELA tayari kwa vita. Mimi natoka kijiji cha Kapwili ambapo kuna kambi tatu za Kijeshi na RADA za kijeshi. Ingawa sisi ni waathilika wa kwanza katika vita hizi kwani mara ya kwanza tulipopigana na Malawi miaka ya 1974 kugombania mpaka wa Mto Songwe mabomu na mizinga ilitua kijijini kwetu ikiwa na lengo la kuharibu RADA za kijeshi zilizopo karibu kabisa na kijiji chetu.

Hata hivyo naiunga mkono Serikali kwa kusogeza majeshi yetu mpakani. Kyela imejaa wanajeshi wa kila aina wakiwa tayari kwa vita ambapo wanafanya mazoezi usiku kucha kujiweka sawa.

Ila huyu mama (Rais wa Malawi) ni mpuuzi sana, alipopewa madaraka nilifikiri Wamalawi wamepata Rais kumbe wamepata kibaraka wa Waingereza na Wamarekani. Hakuna ubishi hapa kuna mkono wa Mwingereza na Marekani kwavile huyu mama amekubaliana kuhusu Ushoga na kumkamata Ally Bashir wa Sundani, hivyo wanamuona anafaa sana. Tutapigana kufa na kupona kwani Kyela ni ya Tanzania na kamwe haitakuwa ya Malawi.

''Rais Banda anachezea sharubu za Simba asubiri''

 
Nimejaribu kupata picha za ramani hali ya mpaka wa nchi hizi zetu zinavyoonekana kwa leo.

karte-regionen-malawi.png
 
wamalawi wanadai kwamba tuliwapora ardhi yao ... na kama ikianza vita basi tujue hawataishia ziwani watarejesha ardhi yao.. bado siajaju ni ardhi ipi hiyo..?
 
We are tired of Malawi, sasa tuchukue Malawi yote na ikaliwe kijeshi kama mkoa wa Tanzania na ndipo ziwa tutalikubali kuwa lipo mkoani Malawi
 
Back
Top Bottom