Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
- Thread starter
- #21
Ukiona mtu anakimbilia matusi ujue Hana hoja za msingi ... Aina Yao nadhani mnafahamu, walalamishi wa kutaka mikate wakati halimi ngano anacheza draft na karata huku akicheza taarabu.... Hoja si umaskini Ila Wana ajenda nyingine.... Pande za pwani zimevamiwa na kautundu ka kufadhiliwa na watu flani kutoka (...?..) , wakorofi sana hao ingawa panapowaka moto wao wanamwaga vifaa Vya maangamizi tu.. Mf. Mabomu as To SOMALIA
unaweza kuwa uko sawa mkuu.
Inaonekana wamelishwa sumu kwa sana,
mtu ukimdai akupe maelezo ya kutosha anakutukana halafu anahitimisha kuwa, "PWANI SI KENYA"
rejea saga ya 83 kwa 17 ya waislaam.