Hatuwezi kupata rais kama JK

Hatuwezi kupata rais kama JK

[h=3]JK Asaidia Vijana[/h]







Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani za Kibaha mjini Kibaha vijijini, Mafia, Kisarawe, Mkuranga na Rufiji.


Kambi hiyo ya mwezi mmoja iliyo katika kijiji cha Msoga, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, ni moja kati ya kambi kadhaa zinazoandaliwa mkoani humo, ambapo ikimalizika hii ya ujenzi mnamo february 29, itafuatia ya upandaji miti na mazingira itakayokuwa katika Chuo cha Elimu Kibaha. Baada ya Hapo itafuatiwa kambi ya ukulima wa mazao ya mbogamboga wilayani Rufiji.


Rais Kikwete ameusifu mkoa wa Pwani kwa kubuni kambi hizo na kutaka mikoa mingine iige mfano huo ili kuwapa vijana ujuzi wa kuweza kujiajiri wenyewe.


Ameahidi kuendelea kusaidi vikundi vya vijana vya aina hiyo ambavyo amevitaja kama hazina nzuri ya maendeleo na utatuzi wa vitendo wa tatizo la ajira.


Rais Kikwete ametoa mashine za kufyatulia matofali ya kisasa 76 ambapo kila moja kati ya vikundi 38 vilivyopo vitapewa mashine mbili mpya na waliyofanyia kazi wataondoka nayo na kuwa ya tatu. Pia Amewapa vijana hao mifuko 3800 ya saruji (kila kundi mifuko 100), viatu vigumu (gum boots) pamoja na mananasi toka shambani kwake.

hzo ni baadhi ya pesa zako na kiasi kidogo sana ndio kinachokurudia kwa njia ya kipumbavu ambayo ww unaonekana huwezi kugundua.!
 
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania

Good point kwa sababu umeona kipindi chake cha miaka kumi ameshindwa kuyaleta hayo maisha bora. Waswahili wanasema ashindwae katika kitu kidogo kikubwa atakiwezaje. Mimi naona usimdhalilishe raisi wako maana hata yeye anakushangaa, maana atakuuliza unataka niendelee tena miaka 10 nitaleta mabadiko gani maana nimeshindwa kwenye kipindi changu?
 
The following user Groaned jane_000 for this useless post
genekai (16/02/2012)
 
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania
Hivi si ndio wewe jane_000 uliyekuwa unatafuta mwanamume mwenye pesa mingi! Hivi ulishampata?
 
mtazamo wangu bora apewe miaka kumi kuongoza nchi tutapata maisha bora kila mtanzania

juzi tu ulikuwa unatafuta mhogo hujaupata? Maana naona umekuja huku ukijua ndo kuna mihogo mingi hii mikubwa huiwezi
 
birigita kwanini unachafua hali ya hewa?
 
poo1.jpg

huoni aibu kuleta uharo wa mama yako hapa jukwaani?
 
Mods com' on!!!!!!!!! Hii ni haki kweli? Bora FaizaFoxy afunguliwe ila huyu asulubiwe..... Pls Mods!!!!!!!

Ooh! Masikini FF! Kumbe mmemsurubisha?! Hata hivyo mpigeni BAN na huyu fisadi anayeomba fisadi mwenzie aongezewe muda wa kuishi ikulu........
 
Hawa jamaa na wafuasi wa ccm wanaonekana wavumilivu na wanademokrasia kweli kweli. Maana kama ungesema kwa mfano: "kuchagua chadema au CUF ni kuchagua udikteta" jiandae kusubiri matusi.
 
huoni aibu kuleta uharo wa mama yako hapa jukwaani?

Kama huna mama yako mzazi husitahiri kutamka maneno haya huna adabu kwetu wanawake hakuna njia nyingine ya kumrekebisha mkosaji mpaka utukane akina mama?. Two wrongs can not make one right.
 
Kama ni hawala yako mwambie aendeleze kuku******* kwa hiyo miaka kumi unayosema, wataarifu na familia yako
 
Back
Top Bottom