Bora muongelee humuhumu mana mkiongea hadharani,mi ntakuwa wa kwanza kuwapiga mawe,wasemeni wengine lakini siyo Nyerere,huu ni usenge,Nyerere alipigania hii nchi,huwezi kumtukana kwa sababu ya maslahi yako,Lowassa ni mwizi kuliko wezi wote Tz hata yeye mwenyewe analitambua hilo,acha kumtukana...