Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Mar 15, 2012.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya JK na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani.

  Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?

   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kama ni kweli labda ndiyo kiti/viti vyenye hadhi yake kama Rais.
   
 3. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwani hujui kuwa huyo ni mwenyekiti wa chama? Kiti chenyewe ndio hicho sasa, ebo!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ngoja wadau wake waje,Maana hakika kuna watumwa wao humu.

  Ila nina hofu viti vinaweza ikawa inafanana.
  Piga kimya wadau wake waje!
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hili ni suala la usalama wa kitaifa.
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kile ni kiti cha Rais, na kwa sasa ni JK. Popote Rais anapoenda hapa nchini, anakuwa nacho. Hata Mkapa ilikuwa hivyo hivyo.
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna iridhi hapo
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hii mada haina tija wala maslahi kwa taifa
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hebu jicheki vizuri km akili yako bado ina akili
   
 10. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapa kinachochefua zaidi ya kukalia kiti ni kitendo cha raisi anapoongea na wananchi huku amekaa kitako. Hii ama ni dharau kwa wananchi au ni dalili za uzembe wa kimwinyi wa kukosa seriousness kwenye maisha ya watu. Angalia viongozi wa wenzetu wa nchi zilizoendelea na zinazoendelea utaona hata pale wanapoongea na waandishi wa habari tu (press conferance) wanasimama. Hivi hizi tabia legelege tumezirithi kutoka wapi???
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hicho kiti kinatumia 3.75G ya airtel ndio maana. Ha ha ha
   
 12. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ......shekh Yahya at work
   
 13. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  to get popular sapot ndo maana ukisikia hotuba yake kwa redio hukubaliani nae ukiangalia kwa tv unashawishika kumwamini, WITCH....
  Vile vizee anavyovihutubiaga maana wengine wanadai anaongeaga nao ila sijawahi kuona wakiongea huwa vinalegea kabisa beter wakati anaongea uwe unakemea kwa imani ya dini yako u will be safe
   
 14. r

  rombo Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hujauliza kuhusu bendera yake???acha ufinyu wa kufikiri wewe.
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Hili nalo neno maana nimemkumbuka Nyerere enzi hizo alipokuwa akilihutubia taifa kwa njia ya redio alisimama wakati wote!.

  Issue ya kiti kiasi ni kweli na kiasi sii kweli. Ni kweli kuwa kiti kile ni cha rais na ni kweli anasafiri nacho kote kama sehemu ya msafara wake pamoja na ile podium yake, for convenience, ila si kweli kuwa ni lazima akalie kiti kile as if ndio masharti ya mganga wake!. Kuna sehemu JK anakwenda na watu wake wa usalama wanajiridhisha na kiti walichokikuta hapo, basi huwa anakikalia kiti kingine chochote licha ya kiti chake rasmi kuwepo!.
   
 16. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Si unajua alimuondoa Shekhe Yahya?

  Akikalia kingine amekwenda na maji
   
 17. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tumezirithi kutoka kwa waarabu.
   
 18. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Tija na maslahi vipo kwani tunataka kujua kama tunaongozwa kwa msaada wa shetani (ambao matokeo yake ni maafa) au kwa msaada wa Mungu (ambao matokeo yake ni neema)!
   
 19. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwajua ya kuwa mlipokuwa watu wa mataifa mlichukuliwa kufuata sanamu zisizonena, kama mlivyoongozwa. 1Kor 12:2
   
 20. D

  Donkim Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani hata mkimwekea kiti, yeye analetewa chake...../......... .......

  Nimeshuhudia mara 2 kwa macho yangu kiti kikibadilishwa jukwaani@
   
Loading...