Sababu 3 kwa nini Ngeleja ajiuzuru

1.Ngeleja ndie anaisimamia hii wizara
2.Alisign posho ya 4mil
3.Alikuwepo ofisini kumpokea Jairo wakati anarudishwa ofisini so anajua fika kuwa lazima amtete katibu wake bse he is part of the deal.
Hii ni kwa mujibu wa Wenje!

Nguvu ya umma ikitumika wanaweza kushtakiwa mahakamani kwa kuiibia serikali. CDM komaeni kwani karani wa serikali anayeiba laki 1 anafungwa miaka.
 
NGELEJA angekua muislam ungekuta siku nyingi
pigwa chini kwa shinikizo kutoka kila kona
Ama kweli huu ni ushahidi tosha wa athari ziletwazo na nguvuasili iliyoko katika jina la mtu. Hapa inaonesha ulivo bongolala kwelikweli. unaelekea wapi? kwenye udini, nani kakutuma uelekee huko?
 
Magufuli apewe hiyo nafasi nadhani atafanya kazi vizuri sana,huyu jamaa ni mchapa kazi wa kweli.....
 
Sioni sababu kwa nini ngeleja asijiuzulu uwaziri wakati kamati teule ya bunge imeshaweka mambo wazi hivi anangoja nini wakati wizara imeshamshinda siku nyingi
 
1. Mikataba ya Madini kuendeea kuikumbatia na kuendelea kuingia mikataba ya kifisadi mfano Mantra Uranium, Buzwagi, Buckreef,
2. Richmond, Dowans,Symbion,Songas, na hatma mbovu ya umeme ambao haujulikani utapatikana lini.
3. Mabilioni ya Jairo.
4. Alikuwa Advocate wa RA na kufanyakazi Vodacom Tz akisimamia maslahi ya RA
5. Jimboni kwake amekusahu sana.
6. Si mtaalamu wa wizara kwani yeye ni Advocate aliyetokea mitaa ya Independence na azam.
7. Ameibeba sana Aphatel, Shivacom katika kumiliki vodacom Congo nao ni ufisadi mkubwa.

Asante mkuu. Kweli umenena. In Short Ngeleja ni bora aondoke, a lot of blunders!
 
Ngeleja na Malima ni lazima waondoke ila la zaidi ya yote Luhanjo naye inabidi asimame rumande kama akina mramba,walijua watakuwa wakuu forever,mwisho wao umefika,wameniudhi hadi natamani kulia,kumamae zao.
 
Luhanjo si alishastaafu kwa mujibu wa sheria? Ajiuzulu kitu gani?
Alirudishwa na mkulu kwani nafasi yake ilikosa mtu mwenye sifa kama yeye watu wa aina yake ni adimu sana, hata hatua zilizopendekezwa na bunge dhidi yake hazitekelezeki..........kudadadadeki!!!!!
 
Nashangaa hadi leo hii Ngeleja yupo bungeni, bado anajiita waziri.

Mbunge gani na waziri gana asiye na uchungu na wananchi wake?. Shule ngapi za kata jimboni kwake hazna madawati? Halafu yeye na kundi lake unajipangia posho zisizo na kichwa wala miguu.

Ina maana huu ugumu wa maisha unaotukabili wao hauwagusi?. Nasema this is too much, wamekula na vipofu, sasa wametushika mikono. Lazma tupige kelele.

Nasema imetosha. Serikali ikishindwa kuwawajibisha hawa jamaa itazidi kujipalilia moto. Hawa jamaa nawafananisha na wauaji.

Ngeleja na wenzako mnalinajisi bunge. Jela ndio kunawafaa.

Walipewa ili wale kama kawaida ya magamba mengine
 
ByBONGOLALA:
NGELEJA angekuamuislam ungekutasiku nyingi
pigwa chini kwashinikizo kutokakila kona
INAMAANA RAIS MWISLAMU ANAKUMBATIA MAFISADI WAKRISTU KAMA NI KWELI RAIS WETU SIO, ANAHITAJI MAOMBI
 
Whether sababu ni 3 au zaidi, Ngeleja anatakiwa kuondoka lakini nakubaliana na Sendeka kwamba anatakiwa ajiwasilishe pale mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kushughulikiwa.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom