JK yupo Ikulu hajasafiri

JK yupo Ikulu hajasafiri

yaani ikulu haifagiliwi mpaka wageni wanapiga picha kwenye taka kama kariakoo?
 
Ameahirisha kutokana na ule ugonjwa wake wa kuanguka, tarehe ziliingiliana.Kifafa kibaya sana
 
jamani ikulu inafagiliwa lakini wakati wanenda kwa photo kulikuwa na upepo ukadondosha hizo taka
 
hakuna tofauti wa haya mnayoyaongea na yale yanayoaandikwa kwenye magazeti ya ijumaa na uwazi plus kiu,mods hizi hoja za kimbea muwe mnazihamishia kwenye page ya umbea.
 
Back
Top Bottom