Msanii, mwanamapinduzi, mpinga ubaguzi na mtetezi wa haki za watu ambao daima wamekuwa wakionekana wanyonge Lucky Philip Dube, ambaye alifariki dunia Alhamisi ya Oktoba 18, mwaka 2007, baada ya kupigwa risasi, akiwa na wanae wawili ndani ya gari lake.
Alikuwa mmoja kati ya watu ambao huwa...