Recent content by Rev J

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu

    Wanajamii natafuta kazi ya kufundisha sekondari au vyuo vya ualimu binafsi.Nina diploma na bachelor ya elimu kwa masomo ya lugha(kiswahili na kiingereza).Nipo Shinyanga.
  2. R

    JamiiForums Tanzania T-marc organization

    Wadau wa forum,naomba kujuzwa kama kuna mwenye taarifa juu ya shirika la T-MARC walitoa nafasi za kazi za muda mfupi wa miezi 3,naomba kufahamishwa kuwa wamefikia wapi ktk mchakato wao.
  3. R

    JamiiForums Tanzania RAIA MWEMA: Bastola ya kigogo UVCCM yatoboa tumbo mwanafunzi wa CBE

    Bulesi huna lolote ujualo,mtu akihoji juu ya kosa lako ndo umfyatulie risasi.Nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri,nibora kutochangia chochote kama huelewi mambo kuliko kuchangia FYONGO NA UPUPU kama huo.Huna maana hata chembe,nashauli ukaombewe uwe na hekima na busara.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu Dagaa wanaitwaje kwa Kimombo

    siamini kama mwl alimcharaza kwa jambo kama hilo,pengine muliza swali aliuliza kwa namna tofauti ya kejeli.Pia DICTIONARY zipo mwanafunzi atafute na si kila kitu wakuuliza ni mwl kumbuka alichouliza mwanafunzi ni msamiati.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mume

    Kwa stail yako hupati muoaji sanasana watajifanya waoaji then wanakumega na kusepa maana inaonekana unatabia za kujianika uonwe.CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.Hupati mtu.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anaejua kutafsiri ndoto anisaidie tafadhali.

    Wakati mwingine ndoto hutokana na kile unachowaza kila mara kwa muda wa mchana.Kwa ndoto yako take care bro UKO VITANI, jaribu kuwa mwanamaombi Mungu atakuwa anakupa majibu ya ndoto zako.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

    Ukweli ni kwamba siku hizi suala consideration ya chuo ulichosoma ktk soko la ajira ni jambo la msingi.Waajiri wengi hasa wa taasisi/mashirika binafsi wanakwepa sana kuajiri watu waliosoma vyuo ambavyo vinaonekana kuwa ni VINARA WA MIGOMO,wanakwepa kutokea migomo kazini.
  8. R

    JamiiForums Tanzania new jobs 20 december

    Fresh mtu wangu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hellow

    Karibu sana
  10. R

    JamiiForums Tanzania Vipandikizi ndani ya upinzani

    Suala la malumbano ktk vyama vyetu vya upinzani kweli limekithiri,sasa tumechoshwa na malumbano yasiyoisha,malumbano yanayoendelea ndani ya CUF na NCCR Mageuzi ni dalili tosha kuwa kuna kuna watu wanaotumwa na CCM kuja kuchafua upinzani ili CCM iendelee KUTHUBUTU ZAIDI,KUWEZA ZAIDI na KUZIDI...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamamkwe ananichanganya

    Nimeoa ninaishi na mke wangu,mama wa mke wangu amekuwa akimshinikiza mke wangu kuivunja ndoa yetu hadi ananipigia cm na kuanza kunifokea kisa eti tuligombana siku moja.Lakini mimi nimekuwa nikimwambia hakuna mteremko kwenye ndoa,pia namkumbusha kuwa ndoa yetu tulifunga kanisani sasa mbona...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wenyeji nionesheni njia

    mimi mgeni katika uwanja huu wa wanajamiiforum,hivyo naombeni msaada wenu kwa nyie wenyeji
Back
Top Bottom