Mwanafunzi afukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu Dagaa wanaitwaje kwa Kimombo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanafunzi afukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu Dagaa wanaitwaje kwa Kimombo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Boniface Evarist, Dec 21, 2011.

 1. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwanafunzi wa shule ya msingi Kakuyu huko kanda ya ziwa amefukuzwa
  shule kwa kumuuliza mwalimu wake wa
  Kiingereza ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo kuwa dagaa kwa Kiingereza anaitwaje? Mwalimu huyo
  aliposhindwa
  kujibu swali hilo
  alihamaki, akamcharaza mtoto huyo
  bakora sehemu
  mbalimbali za mwili
  wake na kumsababishia
  maumivu makali mwilini mwake na akahitimisha
  kwa kumwandikia barua ya kumfukuza shule kwa madai ya utovu wa nidhamu
  na kutumiwa kama kibaraka wa
  maadui wa mwalimu huyo.
  Habari hii sikuiamini lakini jamaa kaniambia ni kweli tusubili uthibitisho zaidi!

  My Take:
  jamani elimu yetu
  Tanzania ni
  wapi inakoelekea?
  Je tuna walimu ama tuna maamuma?
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ndiyo hivyo mkuu! kama mwalimu ni F4 with division 4 or 0 unategemea kunatofauti kubwa na aliyeishia darasa la saba? Hizo ndo features za walimu wengi wanaotufundishia watoto wetu, wengi hawana uwezo. Wakati tunahitaji graduates wafundishe hadi shule za misingi, lakini hilo ni kama ndoto za kufikiria kulikumbatia jua.
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135


  Hatari sana

   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hii kitu ilishatoka hapa several months back.

  Kwa nini unaiita 'tetesi'? Tetesi kutoka wapi?
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyo dent kilaza kama ame2mwa!
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  si angejibu ni small fish huyu ticha kweli kilaza ile mbaya
   
 7. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,141
  Likes Received: 3,330
  Trophy Points: 280
  Small fish.
   
 8. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Source???????
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,842
  Trophy Points: 280
  jf........................
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Mwalimu anatoa 25% then 75% mtoto anajitafutia. Swali lake lilikuwa ndani ya hiyo 75%.
   
 11. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Wengi humu ni graduate lakini dagaa kwa kimombo hawajui huu ni ukweli, lugha ya watu hii
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  tusubili = tusubiri
   
 13. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, hii ni "cut and paste" kutoka humu humu Jf!
   
 14. R

  Rev J Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siamini kama mwl alimcharaza kwa jambo kama hilo,pengine muliza swali aliuliza kwa namna tofauti ya kejeli.Pia DICTIONARY zipo mwanafunzi atafute na si kila kitu wakuuliza ni mwl kumbuka alichouliza mwanafunzi ni msamiati.
   
 15. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lakini wahenga walisema "kuuliza sio ujinga". Na hasa kama anayeuliza ni mwanafunzi akimwuliza mwalimu wake. Inaonekana nuyu ticha alichakachua kazi ya uwalimu na alipoulizwa swali akaona sasa anaumbuka
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mwalimu ana matatizo.
   
 17. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hawajalipwa mshahara mwezi wa tatu huu, lazima awe na matatizo.
   
 18. B

  BABU UPARA Member

  #18
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wadau mmechangia mengi,je kwani hao dagaa wanaitwaje?au na nyie vihiyo?
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  siulisha ambiwa ni small fish hapo juu..
   
 20. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Basi tuwaite "Sardine" nadhani yatosha.
   
Loading...