Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

Tukiendelea na kutegemea vyuo 3 tutakuwa hatuendelei kabisa na huo ubaguzi sio mzuri kinachotakiwa ni uelewa wa mtu anaetakiwa kwani kuna wanao kosa nafasi kwenye vyuo vya Public kulingana na nafasi zinakuwa chache na sifa wazo sasa waende wapi.Tumesoma vyuo vya serikali na tunafanya kazi na waliotoka vyuo binafsi wanafanya vizuri 2 ila nacho ona kibaya ni vyuo kuibuka kiholela sasa kiasi kwamba elimu bora inapungua na kwa hili TCU ni lazima wawe makini sana.
 
Kamua bro usiumize kichwa, kinacho matter ni unanini kichwani! Ishu za chuo kikisha sajiliwa na TCU ni chuo halali na kina value sawa na vingine.:lol:
 
Ukweli ni kwamba siku hizi suala consideration ya chuo ulichosoma ktk soko la ajira ni jambo la msingi.Waajiri wengi hasa wa taasisi/mashirika binafsi wanakwepa sana kuajiri watu waliosoma vyuo ambavyo vinaonekana kuwa ni VINARA WA MIGOMO,wanakwepa kutokea migomo kazini.
 
we unaumwa.
 
teh teh chuo kina matter sana. Kama umetoka UDSM watajua utaleta mgomo kwenye kampuni yao....
 
Kamua bro usiumize kichwa, kinacho matter ni unanini kichwani! Ishu za chuo kikisha sajiliwa na TCU ni chuo halali na kina value sawa na vingine.:lol:

dah kama ingekuwa na FB ningeLIKe jombaa,waajili wanatafuta m2 ambaye ni faida not hasara,mtafta ajila n kama bdhaa,market yoself vzuri bla kuangalia umetoka chuo gani,utapata tu kazi...
 
Back
Top Bottom