Recent content by respect wa boda

  1. respect wa boda

    Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

    Wee jamaa ni mbishi sana, hebu soma hicho kichwa Cha habari kuhusiana na vigezo vya kupatikana izo timu 4. Mbona jamaa anaeleza vizuri sana
  2. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa hizi beki zetu Onana atafungwa goli nyingi sana Kama hizi akiendelea kuvuka mstari… ieleweke timu yetu bado hatuna viungo wa kuficha mpira angalau kwa dk1.. So counter yoyote kuja kwetu ni maumivu hasa ukizingatia hizi beki zetu. Hili goli ni la Varane kabisaaaa… kashindwa kocontrol pass...
  3. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wataalam wa link za games wazee msituangushe please. Au App yoyote nayoweza kuona kwa iPhone kindly share guys.
  4. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mi nataka nikutane nae semi huyu city ili nicheze final kwa amanii
  5. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyu Sabtizer bado sana… anafichama kushenzi mabeki wanapata shida sana kupenyeza mipira jamaa anajificha nyuma ya wachezaji pinzani..garnacho anafurukuta but hana mechi nzuri leo mijamaa imekakamia kadogo… Rash leo hayupo kabisaaaa. nadhani tunacheza kumi uwanjani leo., unapata shida sana...
  6. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwamba kipara aliahidi bodi mwaka huu lazima kikombe chochote kitue OT nini….. Mwamba yuko serious sana khaaa!!
  7. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hana hofu hata chembe kwa Arsenal, hata kama wanaongoza ligi. Kifupi ni kama kasema Asenane ni ngoma ya kitoto….. haikeshi, kidogo tu usingizi
  8. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ki professional asingekubali mzee, ili kugain confidence ya mchezaji kwa public. Ila naamin ndani ya dressing room dogo alikula vitasa vya kutosha tu, ukitaka kuona hili mwangalie dogo alivosawajika pale bench mpaka mechi inaisha dogo karefusha mdomo utafikiri kala ndimu..!!
  9. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nilipenda sana uamuzi wa Ten hag jana kwa Antony jana.. Timu inahaha kutafuta goli watu wanatoka ulimi nje na jasho la kutosha, lenyewe limepokea mpira.. huku kulia Dalot kafungua chumba..Mbele pale Cesa kafungua kwenye box... Linyewe limepokea pasi safi badala ya kupress kwa Dalot au...
  10. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyu dogo Ten amuonye mambo ya kucheza ba jukwaa..anapoteza sana muda.. Hayo mambi afanyage timu ikiwa inaongoza goli nne uko.. aache upuuzi.
  11. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hata awe na mechi nzuri mkuu... wanabamizwa kikawaida sana.
  12. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    De jong,Timber wote limewakuta jambo.. Walijidai nye nye nye hatuwezi kwenda kucheza Europa lig.. kiko wapi?? Matimu mechi tano.. hili point 4, jingine point 3..!! Tena naomba sana tukutane na Barca robo au nusu tumkalishe vizuri de jong mkosa adabu..!!
  13. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    jana tumewapelekea moto tot mpaka kibendera katupa ‘advantage’ ya offside!! Ilipigwa ndefu kwa Kane, Alikuwa offside na kibendera kanyoosha kabisa kibendera but baada ya mpira kumkuta shaw nae kutoa pasi… kibendera kumuona ref kamute nae akashusha chini kibendera mbugi likaendelea mpk mpira...
  14. respect wa boda

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mwenyewe kanishangaza yuko home, ananafasi nzuri tu ya kusonga mbele na tayari kesha win trust kwa mashabiki na bodi pia but daah kawa mkavu Mno bhanaa..
Back
Top Bottom