Recent content by remyshas

  1. R

    Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

    English ani lugha kama kifaransa,na hiko kiswahili unacho kiunderestimate,kujua lugha sio kipimo cha akili tunachokipima ni maamuzi sahihi,busara na mambo mengine ya msingi.kama lugha kama mwengine alivyosema unavaa headphone then mambo yanaendelea kama kawaida.pole saaana mtu anaejua kiingereza...
  2. R

    Naomba msaada wa kisheria

    Habari za asubuhi wanajamii naomba ushauri wenu hasa wa kisheria,mie nafundisha katika chuo kimoja hapa nchini tz,katika tawi nililopo kiongozi wetu ameanzisha utaratibu wa kukata mshahara kwa mwalimu anayechelewa hata kama ni dakika 1.katika mkataba hakuna kipengele chochote kinachoainisha...
  3. R

    Miaka 5 katika NDOA!

    mungu awape nguvu,mapenzi na uaminifu zaidi ili muweze kuzeeka na kuzikana
  4. R

    Yaliyomkuta Nakaaya Sumari

    jipe moy lil sis utayashinda yoote yana mwisho kaza buti uendeleze game
  5. R

    Part time IT Support administrator required

    tayari tumetuma cv wakina dada so ukicheck your yahoo email utakuta kibao ushindwe wewe sasa
  6. R

    Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo

    safi saaaana na tanzania ifate mkondo huo
  7. R

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Naomba nikuambie hivi mwambie awe anasafisha maeneo yake mpka ndani kila akikoga na pia atumie fame wash kwa ajili ya kukata harufu na usafi pia. Zipo fame wash za oriflame, na nyingine nyingi tu.
  8. R

    Ameolewa jana anataka hati ya nyumba leo;loh!!

    thats true pdidy watu wanaoana wakiwa big expectations akizikosa tu basi balaa linaanza.:(
  9. R

    Mapenzi na mwaka 2009

    wape wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao.......
  10. R

    Rufaa ya Babu Seya, tumuombee atoke?

    Kama hawakutenda mwenyezi mungu awasaidie watoke lakini kama wametenda wafuungwe. Ukweli wanao wenyewe kama wametenda au la....
  11. R

    Baada ya Lori hii kupinduka, Jamaa hawa hawatazami kitu ila soda tu!!

    makubwa nilidhani bongo peke yake kumbe bongo wanabeep wenyewe watu wakazi wako india.
  12. R

    Hawa ndio vijana ambao JK ataka kuwaachia nchi!

    Tupe wasifu wa LUCY MAYENGA kwasababu HATUONI KUONGEA WALA KUTILIA MKAZO JAMBO AKIWA BUNGENI SASA SIJUI YUKO PALE KWA AJILI YA KUTETEA VIJANA AU ???!!!!
  13. R

    Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

    totoz ziko kigoma mwisho wa reli na kila kitu
  14. R

    Mbunge wa Ruangwa Lindi afariki dunia

    mola ailaze roho ya marehemu mahali pema ameeen
Back
Top Bottom