Mapenzi na mwaka 2009

Edmund

Senior Member
Jul 17, 2009
123
62
Mwaka ndio huo tena unaishia
JE? MAPENZI yamekufanyia nini?
1. Umehonga shilling ngapi?
2. Kiasi gani umelipa GESTI
3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mtu
TAXI kwa ajili ya MAPENZI
4. Umetumia kiasi gani kununua VOCHA umpigie na wakati mwingine kumtumia.
5. Kiasi gani umetumia kumtoa mimba changa hicho kimeo chako.(sihitaji kujua idadi)
6. Kiasi gani umetumia kwa kununua KONDOMU hapa sina hakika kwa sababu wengi wenu hamzitumii kabisa.
ANGALIA viwalo vyako vilivyo vikuu-kuu na kodi unalipa kwa mbinde, wadogo zako wanadaiwa ADA shuleni mbaya zaidi hata wazazi wako huko kijijini WANALALA NJAA.
BADILIKA 2010
 
mwaka ndio huo tena unaishia
je? Mapenzi yamekufanyia nini?
1. Umehonga shilling ngapi?
2. Kiasi gani umelipa gesti
3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mtu
taxi kwa ajili ya mapenzi
4. Umetumia kiasi gani kununua vocha umpigie na wakati mwingine kumtumia.
5. Kiasi gani umetumia kumtoa mimba changa hicho kimeo chako.(sihitaji kujua idadi)
6. Kiasi gani umetumia kwa kununua kondomu hapa sina hakika kwa sababu wengi wenu hamzitumii kabisa.
Angalia viwalo vyako vilivyo vikuu-kuu na kodi unalipa kwa mbinde, wadogo zako wanadaiwa ada shuleni mbaya zaidi hata wazazi wako huko kijijini wanalala njaa.
badilika 2010

ponda mali kufa kwaja
 
Mwaka ndio huo tena unaishia
JE? MAPENZI yamekufanyia nini?
1. Umehonga shilling ngapi? Sifuri
2. Kiasi gani umelipa GESTI Sifuri
3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mtu
TAXI kwa ajili ya MAPENZI Sifuri
4. Umetumia kiasi gani kununua VOCHA umpigie na wakati mwingine kumtumia. Sifuri
5. Kiasi gani umetumia kumtoa mimba changa hicho kimeo chako.(sihitaji kujua idadi) Sifuri
6. Kiasi gani umetumia kwa kununua KONDOMU hapa sina hakika kwa sababu wengi wenu hamzitumii kabisa. Sifuri
ANGALIA viwalo vyako vilivyo vikuu-kuu na kodi unalipa kwa mbinde, wadogo zako wanadaiwa ADA shuleni mbaya zaidi hata wazazi wako huko kijijini WANALALA NJAA. SHIDA NI TAMAA YA MWILI NA UBINAFSI
BADILIKA 2010

Ushauri wangu wa bure INAWEZAKANA KABISA usitumie gharama yoyote kwa mpenzi wako kwa maana ya kukutana naye guest house. Kuwa na mpenzi ambaye lengo ni uhusiano wa kawaida au wenye kupelekea kuoana na ambao HUHITAJI kukutana naye KIMWILI kabla ya kufunga ndoa. Na kama umeoa/kuolewa jitahidi kuridhishana na mwenzi wako, hivyo hutakuwa na sababu ya kutoka nje ya ndoa na kuwa na matumizi haya ambayo siyo ya lazima. Watoto wako na mke wako wasiteseke kwa sababu kuna huyu binti /mwanamke mwingine ambaye siyo kwamba anakupenda kikweli bali ni anapenda mfuko wako.
 
Mwaka ndio huo tena unaishia
JE? MAPENZI yamekufanyia nini?
1. Umehonga shilling ngapi?
2. Kiasi gani umelipa GESTI
3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mtu
TAXI kwa ajili ya MAPENZI
4. Umetumia kiasi gani kununua VOCHA umpigie na wakati mwingine kumtumia.
5. Kiasi gani umetumia kumtoa mimba changa hicho kimeo chako.(sihitaji kujua idadi)
6. Kiasi gani umetumia kwa kununua KONDOMU hapa sina hakika kwa sababu wengi wenu hamzitumii kabisa.
ANGALIA viwalo vyako vilivyo vikuu-kuu na kodi unalipa kwa mbinde, wadogo zako wanadaiwa ADA shuleni mbaya zaidi hata wazazi wako huko kijijini WANALALA NJAA.
BADILIKA 2010

greti thinka mbona hapa umeshambulia idara ya ngono tu nyengine umeziacha. acha uracist wa ngono bana!
 
yani hapo asirogwe aende ile idara inayoongoza kwa mapato tiiaraei!
yu noo wot ai min, ULABU!.
 
Mwaka ndio huo tena unaishia
JE? MAPENZI yamekufanyia nini?
1. Umehonga shilling ngapi?
2. Kiasi gani umelipa GESTI
3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mtu
TAXI kwa ajili ya MAPENZI
4. Umetumia kiasi gani kununua VOCHA umpigie na wakati mwingine kumtumia.
5. Kiasi gani umetumia kumtoa mimba changa hicho kimeo chako.(sihitaji kujua idadi)
6. Kiasi gani umetumia kwa kununua KONDOMU hapa sina hakika kwa sababu wengi wenu hamzitumii kabisa.
ANGALIA viwalo vyako vilivyo vikuu-kuu na kodi unalipa kwa mbinde, wadogo zako wanadaiwa ADA shuleni mbaya zaidi hata wazazi wako huko kijijini WANALALA NJAA.
BADILIKA 2010

PLUS MVINYO....:confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused:
 
Mwaka ndio huo tena unaishia
JE? MAPENZI yamekufanyia nini?
1. Umehonga shilling ngapi?
2. Kiasi gani umelipa GESTI
3. Umetumia kiasi gani ukikodi au kumkodia mtu
TAXI kwa ajili ya MAPENZI
4. Umetumia kiasi gani kununua VOCHA umpigie na wakati mwingine kumtumia.
5. Kiasi gani umetumia kumtoa mimba changa hicho kimeo chako.(sihitaji kujua idadi)
6. Kiasi gani umetumia kwa kununua KONDOMU hapa sina hakika kwa sababu wengi wenu hamzitumii kabisa.
ANGALIA viwalo vyako vilivyo vikuu-kuu na kodi unalipa kwa mbinde, wadogo zako wanadaiwa ADA shuleni mbaya zaidi hata wazazi wako huko kijijini WANALALA NJAA.
BADILIKA 2010
..Mazee yawezekana za kuhonga zisiwe nyingi sana lakini sindano za vocha ni balaa na ukitoka kufanya makamuzi siku hizi ni mwendo wa Bajaji a.k.a. Chenge taxi unadai itawachelewesha kwenye foleni...Teh! tehhh!! Kweli starehe gharama wajameni!!! Hapo kwenye red ndio utata unaweza kuzinunua mwisho wa kipindi unatoka nazo!!!??
 
unajua ukichukua izo 1 mpaka 6 kwa waliowajibika kiukweli ukweli mwaka huu TOTAL unaweza kuta anajenga nyumba!!! Labda atabakisha finishing tu!!
 
bila shughuli hizo mambo hayaendi! kazi na dawa jamani...
 
Back
Top Bottom