Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NGULI, Dec 10, 2009.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135


  [​IMG]

  David Cato, shoga aliyegeuka kuwa mtetezi wa haki za mashoga
  Thursday, December 10, 2009 3:54 AM
  Wakati Marekani baadhi ya majimbo yanaruhusu ndoa za jinsia moja, Mashoga watakaokamatwa nchini Uganda watahukumiwa adhabu ya kifo na familia zao zitatupwa jela miaka saba iwapo zitashindwa kuwafichua hadharani huku wenye nyumba watakaowapingasha nyumba zao mashoga nao huenda wakanyea kwenye makopo ya jela.


  Hayo yamo katika muswada mpya wa sheria ya kupambana na ushoga nchini Uganda ambao uko njiani kupitishwa kuwa sheria.

  Muswada huo umezua mtafaruku katika jamii ya mashoga duniani na leo alhamisi maandamano ya mashoga wa Uingereza yanafanyika jijini London kuupinga muswada huo.

  Mwezi uliopita mashoga wa Marekani waliandamana kuupinga muswada huo ambao Uganda imesisitiza itaupitisha pamoja na shinikizo kubwa toka mataifa wafadhili.

  Watetezi wa haki za mashoga na wasagaji wamedai kuwa muswada huo utarudisha nyuma juhudi za kupambana kuzuia kuenea kwa ukimwi.

  David Cato, shoga ambaye aligeuka kuwa mtetezi wa mashoga baada ya kupewa kipigo mara nne, kutiwa mbaroni mara mbili na kufukuzwa kazi kwasababu ya ushoga wake, alisema: "Wakati tulipojitokeza kudai haki zetu ndio wameamua kutunga sheria dhidi yetu".

  Cato pamoja na wanaharakati wenzake wa kutetea haki za mashoga na wasagaji wanahofia muswada huo utapitishwa kuwa sheria.

  Hivi karibuni wahubiri wa kikristo wa Marekani walitembelea Uganda wakijaribu kuwahubiria mashoga na wasagaji waache tabia zao.

  Hata hivyo baadhi ya raia wa Uganda wanauunga mkono muswada huo ili kukomesha tabia ya ushoga na usagaji ambayo imekuwa ikukua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni.

  "Vijana wa sekondari wanaiga kila kitu toka nchi za kimagharibi na Marekani", alisema mwalimu wa sekondari David Kisambira ambaye anaunga mkono muswada huo.

  "Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamegeuka kuwa mashoga na wasagaji, tunasikia kuwa kuna vikundi vya watu vinavyopewa pesa na taasisi za mashoga katika nchi zilizoendelea, zinaajiri vijana na kuwaingiza katika shughuli za kishoga", alisema mwalimu huyo.

  Kisambira kama walivyo viongozi wengi wa Uganda wanataka sheria kali zitungwe ili kutokomeza suala hilo.


  Source: Nifahamishe.com
   

  Attached Files:

 2. r

  remyshas Member

  #2
  Dec 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi saaaana na tanzania ifate mkondo huo
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Hata mimi nilifikiri the same kbsa wamezidi.
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hi inafaa sana tabia za uchafu za kishoga na usagaji hazifai katika jamiii tunaomba bunge la tanzania pia kufikisha hoja kama hii na ipitishwe iwe sheria pia
   
 6. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  [QUOTE

  Watetezi wa haki za mashoga na wasagaji wamedai kuwa muswada huo utarudisha nyuma juhudi za kupambana kuzuia kuenea kwa ukimwi.

  Hiyo ni sababu kweli? Au ndo kuchanganyikiwa kwenyewe huko?
   
 7. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bravo Uganda, uzi huohuo msiachie. Mashoga ni majitu hatari sana katika ustawi wa taifa. Hiyo sheria ipitishwe haraka, yaani nimeipenda mno. Na Tanzania tuige mfano huo, tusimamie ustawi wa nchi.
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  anti-vizibo akisikia hili atajinyonga!:D
   
 9. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yaani bora ajinyonge tu kabla hiyo sheria haijaja huku, maana ikishaonesha mafanikio Uganda nasi tutataka ije kwetu.

  Mashoga wa nchi nyingine wanaogopa kuwa itafanikiwa hii sheria ndio maana wameanza na mapema kuipinga na maandamano. Ingefaa na sisi tuandamane kuiunga mkono, ili serikali ya Uganda ielewe hawako peke yao katika hili.
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Proposed legislation would impose the death penalty for some gay Ugandans, and their family and friends could face up to seven years in jail if they fail to report them to authorities. Even landlords could be imprisoned for renting to homosexuals.
  "It's a question of visibility," said David Cato, who became an activist after he was beaten up four times, arrested twice, fired from his teaching job and outed in the press because he is gay.

  The legislation has drawn global attention from activists across the spectrum of views on gay issues. The measure was proposed in Uganda following a visit by leaders of U.S. conservative Christian ministries that promote therapy for gays to become heterosexual. However, at least one of those leaders has denounced the bill, as have some other conservative and liberal Christians in the United States.
  Gay rights activists say the legislation is likely to pass. But the bill is still being debated and could undergo changes before a vote, which has not yet been set.
  The Ugandan legislation in its current form would mandate a death sentence for active homosexuals living with HIV or in cases of same-sex rape. "Serial offenders" also could face capital punishment, but the legislation does not define the term. Anyone convicted of a homosexual act faces life imprisonment.
  Anyone who "aids, abets, counsels or procures another to engage of acts of homosexuality" faces seven years in prison if convicted. Landlords who rent rooms or homes to homosexuals also could get seven years and anyone with "religious, political, economic or social authority" who fails to report anyone violating the act faces three years.
  Gay rights activists abroad are focusing on the legislation. A protest against the bill is planned for Thursday in London; protests were held last month in New York and Washington.
  David Bahati, the legislator sponsoring the bill, said he was encouraging "constructive criticism" to improve the law, but insisted strict measures were necessary to stop homosexuals from "recruiting" schoolchildren.
  "The youths in secondary schools copy everything from the Western world and America," said high school teacher David Kisambira. "A good number of students have been converted into gays. We hear there are groups of people given money by some gay organizations in developed countries to recruit youth into gay activities."
  Uganda's ethics minister, James Nsaba Buturo, said the death sentence clause would probably be reviewed but maintained the law was necessary to counter foreign influence. He said homosexuality "is not natural in Uganda," a view echoed by some Ugandans.
  "I feel that the bill is good and necessary, but I don't think gays should be killed. They should be imprisoned for about a year and warned never to do it again. The family is in danger in Uganda because the rate at which vice is spreading is appalling," said shopkeeper John Muwanguzi.
  Uganda is not the only country considering anti-gay laws. Nigeria, where homosexuality is already punishable by imprisonment or death, is considering strengthening penalties for activities deemed to promote it. Burundi just banned same-sex relationships and Rwanda is considering it.
  Homophobia is rife even in more tolerant African countries.
  In Kenya, homosexuality is illegal but the government has acknowledged its existence by launching sexual orientation survey to improve health care. Nevertheless, the recent marriage of two Kenyan men in London caused outrage. The men's families in Kenya were harassed by reporters and villagers.
  In South Africa, the only African nation to recognize gay marriage, gangs carry out so-called "corrective" rapes on lesbians. A 19-year-old lesbian athlete was gang-raped, tortured and murdered in 2008.
  Debate over the Ugandan bill follows a conference in Kampala earlier this year attended by American activists who consider same-gender relationships sinful, and believe gays and lesbians can become heterosexual through prayer and counseling. Author Don Schmierer and "sexual reorientation coach" Caleb Lee Brundidge took part; they did not respond to interview requests.
  A third American who took part in the conference in Uganda, Scott Lively, said the bill has gone too far.
  "I agree with the general goal but this law is far too harsh," said Lively, a California-based preacher and author of "The Pink Swastika" and other books that advise parents how to "recruit-proof" their children from gays.
  "Society should actively discourage all sex outside of marriage and that includes homosexuality ... The family is under threat," he said. Gay people "should not be parading around the streets," he added.
  Frank Mugisha, a gay Ugandan human rights activist, said the bill was so poorly worded that someone could be imprisoned for giving a hug.
  "This bill is promoting hatred," he said. "We're turning Uganda into a police state. It will drive people to suicide."
  Buturo played down the influence of foreign evangelicals, saying the proposed legislation was an expression of popular outrage against "repugnant" practices. But activists like Cato argue anti-gay attitudes are a foreign import.
  "In the beginning, when the missionaries brought religion, they said they were bringing love," he said. "Instead they brought hate, through homophobia."
  Susan Timberlake, a senior adviser on human rights and law from UNAIDS, said such laws could hinder the fight against HIV/AIDS by driving people further underground. And activists also worry that the legislation could be used to blackmail or silence government critics.
  Cato said he thinks the Ugandan bill will pass, perhaps in an altered form.
  "It's such a setback. But I hope we can overcome it," he said. "I cannot believe this is happening in the 21st century."
  ___
  Source: Associated Press
   
 11. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Great Bill. I wish they could pass it tonight, and that Tanzania and other countries in Africa could emulate this brilliant example.
   
 12. K

  Kijamani Senior Member

  #12
  Dec 10, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii safi sana.
   
 13. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  raisi wetu anavyopenda kuomba omba na kujipendekeza huko west..badala ya angalau kuunga mkono hii ya Uganda unaweza kusikia na tz inaruhusu ndoa za mashoga ohoo!!
   
 14. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Naomba ufafanuzi kidogo,hii sheria itawahusu wanaume wanaopumuliana na wanawake wanaosasgana tu au hata wanaume wanaaopurua TIGO za mabinti?
   
 15. t

  titomganwa Senior Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nikimwona shoga in private, sitasubiri muswada uwesheria, ahesabu ameshakufa. hapo ni jiwe la kichani, tena utosini mojakwamoja.
   
 16. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa Tanzania ni too late kwa sababu wengi wao wako katika mainstream system ya serikali wengine ni viongozi, mawaziri na watoto wa vigogo wengine pia ni vigogo wa taasisi kubwa kubwa kama vile kampuni za Simu nk. Unaweza usiamini ukiambiwa lakini subiri likilewa unashangaa linaanza kukupapasa linataka lenyewe blowjob na kugongwa. Nenda Maisha Club ukawaone.
   
 17. f

  fimboyaasali JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,552
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Mimi ni shoga basha na hapa TZ tupo wengi sana na ukitka kutujua tembelea www.gayuniverse.com au www.gaydar.uk hakuna namna ya kutondoa mmeishachelewa
   
 18. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mbona tz karibu kila siku wanaongelea tigo tigo tigo, ikija hapa kwetu sheria kama hiyo, hawa wanaokula tigo kwa wake zao wenyewe ndio itakuwaje? Mimi nafikiri mwanaume anayekula tigo ya mwanamke anaweza kula hata ya mwanaume....
   
 19. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Cjui uganda wanakwamishwa na nini. Tangu mwaka juzi muswada muswada. Jamani pitisheni iyo kitu iwe sheria haraka. Tz tutaiimport kutoka uganda ili kama ni haki basi na ipotee. Wanamchukiza mola,wanawake kibao ,ya nini wanaume waoane?!hatutaki mashoga Tanzania.
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  cjui ndugu una matatizo ya akili? We bila kukashifu wenzio uishi kwa amani. Jaman ziheshimu imani za watu jamani.
   
Loading...