Recent content by Remsi

  1. R

    JamiiForums Tanzania The Disneyland in Tanzania!

    Following this up if anyone knows kama ili happen au iko kwenye mchakato
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Sioni tatizo watoto kuijua dini. Mafundisho ya dini yoyote ile yana maadili
  3. R

    JamiiForums Tanzania msaada kuflash iphone 5

    Uko wapi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa waitikisa Arusha!

    Inasemekana ni Transformer limepasuka na umeme baadhi ya sehemu hakuna Arusha.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Movie iliyowahi kukutoa machozi....

    The princess and the marine
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi;noti ya elfu hamsini

    Coin ya 50,000 imekwishatoka
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Nimenunua wa 10,000 nikapata unit 8
  8. R

    JamiiForums Tanzania Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Kimbunga cha HAIYAN phillipines hii ni habari kubwa sana 2013 na ya kushtua. Watu zaidi ya elf 6 walipoteza uhai na mpaka Christmass hii wanasherehekea wakiwa hawajapona vidonda vya majonzi ya kuondokewa na wapendwa wao. Majanga kama hayo ni ushahidi tosha wa mabadiliko ya hali ya hewa na sisi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ulisha kaa ukajiuliza raisi gani anakula zaidi bataa hapa duniani

    Mfano ikatokea raisi akaamua kumsikiliza kila mtu, huyo raisi anaweza kufa kwa stress na presha. Maana kila mtu ana wazo lake, hivi tulishawahi kujiuliza kama leo hii ukavaa viatu vya uraisi ni nini ungefanya na ni jinsi gani ungekabiliana na changamoto? Na mawazo yapi ya wananchi tungeyapokea...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Barafu la Mlima Kilimanjaro lakauka, mlima mweupeee

    Kuna picha nilikua najaribu kuZipachika hapa ila hazikubali, moja nilipiga wiki ilopita nikiwa west kilimanjaro na ingine nimepiga leo asubuhi. Mlima una barafu ya kutosha hata kama imepungua ila si kiasi kama ilivyooneshwa katika picha.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Rubani sidhani kama proffessionally huyo rubani anaweza akashusha abiria pasipo international security standards kuzingatiwa. Arusha ni just domestic airstrip
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya stendi ya Mbezi

    Ok...ajali mbaya sana hyo.poleni
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mji wa moshi

    Ukitaka mitura mizuri sogea mkulima bar...wako vizuri sana.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Onyo :soma ila jizuie kulia na uwe balozi mzuri

    Makosa kama haya ndio yanastahili kifungo cha maisha. Hapo huyu mtoto itamchukua karibia nusu au hata zaidi ya maisha yake yote kukaa sawa kisaikolojia.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Agnes masogange sizzles in new pics

    Lol..no wonder drugs turned out to be wheat
Back
Top Bottom