Wacha nongwa kiongozi, kama inavyojieleza yenyewe Jamii Forum means platiform where jamii (watu bila kujalisha rangi zao, kada zao, umri na nyadhifa) wanashare social, political and economical apects. Forum/platiform/uwanja huu unaunganisha watu, unaelimisha, unaleta experience ya mahalia na tamaduni za wengine kwa members wengine, sasa wewe unataka kujenga social stratification na uoga kwa members kana kwamba hawakusoma Terms and conditions za jukwaa hili. Nikuuliza does this thread offend your religion, tribe, personality, status or does it interfere your personal life? If not sasa unamwita Mod aondoe uzi kwa grounds zipi? Ama huu nao ni ukanda?
Hii tabia inakuwa sana hapa jukwaani eti basi tu kwa sababu mtu mmoja binafsi hayuko interested na thread anaanza nongwa na comment za kejeli. Usishambulie mtu shambulia hoja, na uhuru wako unakoishia ndiko uhuru wa mwingine unakoanzia. HILI NI JUKWAA LA KIJAMII na uzi umeonwa na Mods so we endelea na threads zingine which lies to your anchor position sio lazima uukomalie huu. Kama una chuki na kabila linalochangia kwa wingi hapa basi POLE find other way round to convey your attitude.
Long live Jf, kwa hisani ya Great thinkers!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums