Ajali mbaya stendi ya Mbezi


K

keizerjohn

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Messages
114
Likes
1
Points
0
K

keizerjohn

Senior Member
Joined May 12, 2013
114 1 0
Nilikuwa natoka mazoezini jioni ya leo, muda Wa saa mbili kamili hivi usiku huu, nilipofika stand kuu ya mbezi nilivuka barabara kuingia stand tokea upande wa pili. Kulikuwa Na foleni ndefu ya Magari yaendayo ktkt ya mji.

Kuna kijana mmoja naye alikuwa anavuka, kumbe Basi la Superfeo kutoka Songea, lilikuwa limetanua kulia kujifanya kuwahi kuliko wengine. Gari la kulia lilimruhusu kijana, alipovuka Gari hilo aliangalia kushoto akaona kweupe, kumbe Basi hilo limetanua kulia, basi kishindo kikubwa kilisikika akatushwa juu Na kutua chini. Tulipomfunua tulishuhudia damu nzito zikibubujika kila upande wa kichwa.

Basi lilifunga breki kisha likaondoka kwa kuendelea kutanua lkn kufika njia panda ya kwenda Kinuerezi likakutana USO kwa uso na magari yanayopandisha mikoani likawa blocked na wasamaria wema wakalizingira.

Mtu katoka Songea Salama km zaidi ya 1000 amebakiza km 20 anatanua hovyo na kuua!

Madereva muwe makini
 
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
11,566
Likes
116
Points
160
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
11,566 116 160
Nilikuwa natoka mazoezini jioni ya leo, muda Wa saa mbili kamili hivi usiku huu, nilipofika stand kuu ya mbezi nilivuka barabara kuingia stand tokea upande wa pili. Kulikuwa Na foleni ndefu ya Magari yaendayo ktkt ya mji. Kuna kijama mmoja naye alikuwa anavuka, kumbe Basi la Superfeo kutoka Songea, lilikuwa limetanua kulia kujifanya kuwahi kuliko wengine. Gari la kulia lilimruhusu kijana, alipovuka Gari hilo aliangalia kushoto akaona kweupe, ikumbe Basi hilo alikuwa anaangalia kushoto
Baada ya hapo nini kikatokea?
 
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
1,847
Likes
793
Points
280
Age
34
M

mshumbue-soi

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2013
1,847 793 280
unakimbilia wapi andika kinachoeleweka we sema superfeo imemgonga ... sio stori ndefu ujumbe wa mistari miwili.
 
K

keizerjohn

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Messages
114
Likes
1
Points
0
K

keizerjohn

Senior Member
Joined May 12, 2013
114 1 0
Basi limekamatwa lipo Kituoni na ule mwili ulibebwa. Sijajua Kama yu hai hadi ripoti ya daktari, lakini kwa maacho nilimuona kapoa maana damu zilikuwa nzito zimetapakaa na alikuwa amebonyea kichwani, kapoa kbs
 
K

keizerjohn

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Messages
114
Likes
1
Points
0
K

keizerjohn

Senior Member
Joined May 12, 2013
114 1 0
unakimbilia wapi andika kinachoeleweka we sema superfeo imemgonga ... sio stori ndefu ujumbe wa mistari miwili.
Bora ujue chanzo cha ajali ili ujifunze yasije yakakukuta wewe kesho, samahani lkn. Ndio maana nikawa detailed maana haidaidii kusema Basi limeua, Bali limeuaje sivyo!! Acha haraka
 
pingu mkoka

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
428
Likes
44
Points
45
pingu mkoka

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
428 44 45
Kwahy dereva wa basi amechomwa moto?
 
K

keizerjohn

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Messages
114
Likes
1
Points
0
K

keizerjohn

Senior Member
Joined May 12, 2013
114 1 0
Kwahy dereva wa basi amechomwa moto?
Hapana, trafiki police walikuwa Jirani wakamkamata yy Na Gari baada ya watu kulizingira, wakalipeleka Gari Kituoni. Litho Cha stendi ya Mbezi kwa juu hapa, kuelekea kwa yusuph
 
K

keizerjohn

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Messages
114
Likes
1
Points
0
K

keizerjohn

Senior Member
Joined May 12, 2013
114 1 0
Ok...ajali mbaya sana hyo.poleni
Asante mdau, Nasi wavukaji tuwe makini maana Madereva wengine hawapo sawa kichwani. Unaweza ukaaga Nyumbani halafu wanashangaa haurudi. Mungu atusaidie
 
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
2,301
Likes
502
Points
280
Nyanidume

Nyanidume

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
2,301 502 280
Nimekoma mie, kuanzia leo sitanui tena hata niwe na haraka kiasi gani!
 
T

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
857
Likes
48
Points
45
T

tizo1

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
857 48 45
Drive slow ..,.MADEREVA WANATUMALIZA..,
 
Peter jaluo

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,763
Likes
14
Points
135
Peter jaluo

Peter jaluo

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,763 14 135
dah! sheria mkononi. mungu awatungulie.
 
stellahchriss

stellahchriss

Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
29
Likes
0
Points
0
stellahchriss

stellahchriss

Member
Joined Oct 8, 2013
29 0 0
mh pole kwa hyo kijana na familia bt superfeo za songea huwa zna haraka sana na mwendo kasi wapunguze kwa kwel
 
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,782
Likes
8
Points
135
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,782 8 135
Haya mabasi si ya Bi kiroboto haya?
 

Forum statistics

Threads 1,235,897
Members 474,844
Posts 29,239,735