Recent content by rehan

  1. rehan

    JamiiForums Tanzania Canaan Banana:Rais wa Zimbabwe Aliyefungwa kwa Kulawiti

    Ndiyo maana nawashauri wachungaji wafunge ndoa,kutofunga ndoa ndiyo hayo yanawakuta
  2. rehan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    Hao ni virusi katika jamii,ni vyema waondolewe na kuwapa adhabu kali ili watu wakome kuwaiga
  3. rehan

    JamiiForums Tanzania Nampenda Tatty

    Utuelezee masharti na vigezo
  4. rehan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, anikeni nguo za ndani nje

    Huyu ambaye anataka zianikwe nje anaonakana mchawi huyo
  5. rehan

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

    Wewe mwenye hiyo uzi inaonekana akili zako hazina akili,wanasaidia kitu gani,eti wanakusaidia sh100 halafu wanaondoka na sh 1000000 zako,usiwe mjinga,baada ya kututawala na kuwaua waafrika wengi leo unasema ni watu wazuri?
  6. rehan

    JamiiForums Tanzania TRA imekusanya zaidi ya trilioni 1 kwa mwezi Januari 2016

    Hakuna cha maana wanafanya,kabla ya kukusanya kodi watengeneze tax system ya nchi nzima,haiwezekani wakasema import duty is 10% halafu waka charge 150% ,lazima kuwe na flow of money,wafanya biashara watengeneze na serikali itengeneze,ikiwa one side basi biashara either zitakufa au bei ya vitu...
  7. rehan

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Ni contact whatsapp 0769063661 au call 0757354318
  8. rehan

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji circuit ya iphone 5 aliyenayo? Au iPhone 5 Bila kioo Chake au iphone5 nzima iliyovunjika kioo chake
  9. rehan

    JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa dawa inayotibu magonjwa sugu

    Kama umesikia sauti basi ujue ni ya shetani
  10. rehan

    JamiiForums Tanzania Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Mwishoni tutasikia serikali itasema "na wachina waliochukua nafasi za masomo waondoke kwao ili kumpatia nafasi mtanzania
  11. rehan

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wa Mandela matatani kwa kuslimu

    Kwa hiyo msiokuwa waislamu muna problem nae?bado hamtaki kuukubali uislamu
  12. rehan

    JamiiForums Tanzania Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

    Mie naona tunapoenda ni pabaya,sasa jamani watu wasipoagiza mizigo basi hizo taxes watazipata wapi serikali?
  13. rehan

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yanyesha usiku huu jijini Dar es salaam

    Maeneo ya kariakoo mvua si mwingi bali mawingu mazito
  14. rehan

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi watatu wafariki dunia katika msafara wa CCM Singida

    Poleni wafiwa
  15. rehan

    JamiiForums Tanzania Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

    Yesu hakuwa mkristo kwasababu kristo si dini,bali alkuwa muislam
Back
Top Bottom