Hapa TORCH hazihusiki.Tatizo ni mwendo kasi .
Hii nimeipendaOver speed, hawakuiona touch?
Ni mDu huuu uzi unaonesha ni jinsi gani ccm na serikali yake wametengeneza chuki miongoni mwa jamiii mpka inafika mahali watu wanafurahia wengine kufa,
Tuna kazi kubwa mbele
Poleni wafiwa .Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi
Speed kwenye misafara ya viongozi siyo mbwembwe bali ni suala la kiusalama zaidi ndio maana si kila dereva anaweza kumuendesha rais au waziri mkuu bali ni madereva maalum ambao wamekuwa trained kwa ajili ya kuendesha viongozi. Wanakuwa trained kuendesha gari katika speed na environment condition yoyote. Ndio maana pamoja na kwamba haya magari hukimbia kwa speed kubwa tena yakiwa yamekaribiana huwezi kukuta yamegongana. Ajali kama za hiyo kupasuka tairi ni vitu ambavyo huwezi kuvikwepa.Juzi tulipitwa na msafara hapa hapa dar lakini spidi nadhani ilikuwa 180...nikamuuliza mshikaji nilekuwa naye kwenye gari logic ya hii misafara kuvunj sharia za barabarani...yeye akatetea kuwa wako safe sababu wanapishwa na wanapiga king'ora...nikamuuliza akikatiza kiziwi ghafla au mtoto si watamgonga hawa...
hivi spidi ni haraka? usalama? au mbwembwe? sawa tutawapisha lakini you need to rethink kama kuna haja kweli ya kwenda spidi 180 toka na safari yenyewe ni ya posta airport
Hata wewe mwenyewe unaweza ukawaomba polisi wasindikize msafara wako. Ni suala la kutimiza masharti tu. Kuhusu msafara wa jana ni wa viongozi wa CCM ambao wana vyeo serikalini au walishakuwa na vyeo serikalini ambavyo katiba inawataka wapewe ulinzi popote pale waendapo. Hata Lowassa pamoja na kuwa yupo Chadema bado anapewa ulinzi na serikali kwa mujibu wa katiba.Jamani serikali iwe na huruma na watotot wa watu, msafara wa ccm unaongozwa na polosi? Huku sasa ndio kupenda kutukzwa, loh! halafu serikali hii ndio inayo jinasibu kubana matumizi! Poleni wafiwa.
mbwembwe na sifa ndo zinaponza.,..hivi spidi ni haraka? usalama? au mbwembwe?
Kesi ya ngedere kwa nyaniHapa TORCH hazihusiki.