Canaan Banana:Rais wa Zimbabwe Aliyefungwa kwa Kulawiti

Status
Not open for further replies.

Malamu

JF-Expert Member
Jun 13, 2014
1,199
2,891
HAKUWA rais tu wa Zimbabwe, bali alikuwa Mchungaji wa Kanisa la Methodist! Ni Canaan Sodindo Banana ambaye alifariki Novemba 10, 2003 kwa ugonjwa wa kansa huko London.

Rais Banana — rais wa kwanza wa Zimbabwe wakati Robert Mugabe akiwa waziri mkuu – alihukumiwa kifungo cha miaka 10 kwa kumlawiti mpambe wake (aide-de-camp) Jefta Dube.

Kashfa hiyo iliyoishitua dunia ilianzaje? Ilianza pale Dube alipompiga risasi na kumuua konstebo mmoja waliyekuwa wakifanya naye kazi ikulu ya Banana, alipomtukana (Dube) kwa kumwambia alikuwa “mke wa Banana!”
Akiwa kortini kuhusiana na mauaji hayo, Dube ndipo alipomwaga siri hiyo kwamba ni kweli Rais Banana alikuwa akimlawiti yeye na watu wengine kwa kutumia vitisho vya cheo chake na kwamba pamoja na kuripoti jambo hilo kwa wakubwa kibao, walikuwa wanagwaya kumchukulia hatua kiongozi huyo.

Kwa mujibu wa Dube, ambaye Banana alimpenda alipomwona anacheza soka timu za mitaani na akaamua aajiriwe ikulu, rais huyo alikuwa amebobea katika ulawiti wa wafanyakazi wengi wa kiume wa ikulu, licha ya kuwa na mke na watoto. Hata hivyo, kesi ya Dube ndiyo iliyomtia hatiani Banana.

Dube alisema mahakamani kwamba alikataa mara nyingi kufanya ‘mchezo’ huo na Banana alipoitwa faragha ikulu licha ya vitisho hadi alipomchanganyia madawa kwenye soda ya Fanta na ‘kumfanyizia’ kwa mara ya kwanza.
Tangu hapo vitisho vya Banana vikazidi ikiwa ni pamoja na Dube kufungiwa nyumbani kwake, kuachwa katika safari za nchi za nje na kutishiwa kufukuzwa kazi, mambo yaliyomfanya Dube akubali kuendelea kufanyiwa kitendo hicho hadi ‘alipozomewa’ na konstebo aliyemuua.

Banana aliyezaliwa Machi 5, 1936 na kuwa Rais wa Zimbabwe tangu Aprili 18, 1980 hadi Desemba 31, 1987, akiwa pia msomi mkubwa, alishiriki pia kwa kiwango kikubwa kupigania uhuru wa Zimbabwe hadi alipokamatwa mwaka 1997 kutokana na makosa 11 ya tuhuma za kulawiti.

Akiogopa Rais Robert Mugabe angemshikisha adabu kwa kitendo hicho, Banana alikimbilia Afrika Kusini, lakini marehemu Nelson Mandela akamsihi arudi nyumbani kuikabili adhabu hiyo ambapo aliporejea, Januari 18, 1999, alihukumiwa kifungo cha miaka 10 jela ambapo miaka tisa angeitumikia nje ya gereza. Pia mamlaka husika za kidini zilimvua ‘uchungaji’ wake.

Alikaa gerezani miezi sita tu na kuachiliwa Januari 2001.
 
Ndiyo maana nawashauri wachungaji wafunge ndoa,kutofunga ndoa ndiyo hayo yanawakuta
 
ninachokiona kwenye hii post ni picha ya ikulu ya Zimbabwe. Kwa ufahamu wangu wa historia Zimbabwe ilipata uhuru mwaka 1980 na toka wakati huo raisi wake ni mugabe. sasa huyu Banana kawaje raisi wa zimbabwe tangu 1980 hadi 1987? Mleta mada Mumba Daly tafadhali toa maelezo
 
ninachokiona kwenye hii post ni picha ya ikulu ya Zimbabwe. Kwa ufahamu wangu wa historia Zimbabwe ilipata uhuru mwaka 1980 na toka wakati huo raisi wake ni mugabe. sasa huyu Banana kawaje raisi wa zimbabwe tangu 1980 hadi 1987? Mleta mada Mumba Daly tafadhali toa maelezo
Canaan Sodindo Banana (5 March 1936 – 10 November 2003) served as the first President of Zimbabwe from 18 April 1980 until 31 December 1987. A Methodist minister, he held the largely ceremonial office of the presidency while his eventual successor,Robert Mugabe, served as Prime Minister of Zimbabwe.During his lifetime, Banana brought together two of the country's political parties, theZimbabwe African National Union (ZANU) and the Zimbabwe African People's Union (ZAPU), became a diplomat for the Organisation of African Unity, and headed the religious department of the University of Zimbabwe. His later life was complicated by charges ofsodomy—a crime in Zimbabwe—which he denied and for which he was later imprisoned.
 
ninachokiona kwenye hii post ni picha ya ikulu ya Zimbabwe. Kwa ufahamu wangu wa historia Zimbabwe ilipata uhuru mwaka 1980 na toka wakati huo raisi wake ni mugabe. sasa huyu Banana kawaje raisi wa zimbabwe tangu 1980 hadi 1987? Mleta mada Mumba Daly tafadhali toa maelezo
Mkuu umezaliwa mwaka gani? Uliza kabla hujapinga
 
HUU MCHEZO HAWA WACHUNGAJI WATAFUNGWA WAKITAKA WAWE WAISLAMU MAANA HUKO MUAHAMAD ALIANZISHA KUWA NI JAMBO LA KAWAIDA KWA MUJIBU WA QURAN.




Hii inaitwa Bwana alikamata kisha akatafuna. Jina lake ni wanted.

Teh teh teh teh.

Manina hawa wachungaji. Dah..
Wanatafuna kondoo mpk mifupa .
 

Attachments

  • thighing.png
    thighing.png
    55.9 KB · Views: 149
USHAHIDI HUU HAPA SIJUI UNATAKA UPI TENA NDUGU YANGU
Sahih al-Bukhari 3896—Narrated Hisham’s father: Khadija died three years before the Prophet departed to Al-Madina. He stayed there for two years or so and then he wrote the marriage (wedding) contract with Aishah when she was a girl of six years of age, and he consummated that marriage when she was nine years old.
 

Attachments

  • thighing.png
    thighing.png
    55.9 KB · Views: 128
USHAHIDI WA KUWA BWANA MUHAMAD SAW ALIKUWA MBAKAJI WA WATOTO WADOGO ,MALAYA NA JAMBAZI HUU HAPA.
Sahih al-Bukhari 5158—Narrated Urwa: The Prophet wrote the (marriage contract) with Aisha while she was six years old and consummated his marriage with her while she was nine years old and she remained with him for nine years (i.e. till his death).

Sahih Muslim 3310—Aisha reported: Allah’s Apostle married me when I was six years old, and I was admitted to his house when I was nine years old.

Sahih Muslim 3311—Aisha reported that Allah’s Apostle married her when she was seven years old, and she was taken to his house as a bride when she was nine, and her dolls were with her; and when he (the Holy Prophet) died she was eighteen years old.

Sunan Abu Dawud 2116—Aishah said: The Apostle of Allah married me when I was seven years old. (The narrator Sulaiman said: Or six years.) He had intercourse with me when I was nine years old.



Hii mipasho tumeshazoea kuisikia .
Ungeonakana Kafiri wa maana km ungeweka Na USHAHIDI WA KAULI HIO ulioandika hapo juu. Tatizo ni kuwa USHAHIDI HUNA bali Ni Kafiri mzushi km walivyo wazushi wengine wasio na elimu.

Turudi kwenye Uzi. Inakuwaje nyie Wachungaji kesi la kulawiti ,Kubaka na ndoa za jinsia moja zimefululiza kwa Kasi namna hii?
Raha gani mnasikia kwa wanamme wenzenu?
 
MTUME ALIDAI KUWA ALIONA NDOTO KUWA ANAPASWA AMUOE AISHA. Akaenda kumshwishi abubakar ambaye kwanza alikataa kumuoza mtoto wake kwa mtume wenu aliyetumwa na shetani kumuoa mtoto wa miaka 6 na kumnajisi. MAANDIKO HAYA HAPA WALA SIMSINGIZII.

Sahih al-Bukhari 3895—Narrated Aishah that the Prophet said to her, “You have been shown to me twice in my dream. I saw you pictured on a piece of silk and someone said (to me), ‘This is your wife.’ When I uncovered the picture, I saw that it was yours. I said, ‘If this is from Allah it will be accomplished.’”
After having this dream about Aisha (who couldn’t have been more than six years old at the time), Muhammad proceeded to ask her father Abu Bakr for her hand in marriage. Abu Bakr understandably objected at first, but Muhammad was able to persuade him to consent.

Sahih al-Bukhari 5081—Narrated Urwa: The Prophet asked Abu Bakr for Aishah’s hand in marriage. Abu Bakr said, “But I am your brother.” The Prophet said, “You are my brother in Allah’s religion and His Book, but she (Aishah) is lawful for me to marry.”
 
ninachokiona kwenye hii post ni picha ya ikulu ya Zimbabwe. Kwa ufahamu wangu wa historia Zimbabwe ilipata uhuru mwaka 1980 na toka wakati huo raisi wake ni mugabe. sasa huyu Banana kawaje raisi wa zimbabwe tangu 1980 hadi 1987? Mleta mada Mumba Daly tafadhali toa maelezo

mugabe alikua waziri mkuu ambae pia ndio mkuu wa serikali kama waingereza wafanyavyo kabla ya kuwa rais...hicho cheo cha rais cha banana kilikua ceremonial kama walivyoandika jamaa hapo juu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom