wewe umeona ushoga tu? na cc vita vya cc kwa cc, mauaji ya vikongwe /albino, njaa, serikalimbovu,mila za ajabu ajabu? basi tupe kipimo cha maendeleo chako wewe tukione.Hawana level yeyote ya kituzidi inategemea wewe unaelewa nini maana ya maendeleo! Sisi tumegeukia mfumo wao wa kiuchumi na unachokiita maendeleo kwa vile dhambi ya vizazi vetu vilivyopita kuona ya kuwa wazungu ni superior. Kumbuka walikuja kwa gear ya ukristo na wao pia injili ilikuwa imepelekwa kwao! Sasa ili kuleta wizi ilibidi wachomekee ustaarabu wao ili kuziba maovu yao. Sintakubali kamwe kukubali kuwa wazungu ni bora mpaka watakapokubali hadharani kupinga ushoga na usagaji! Kwa bahati mbaya wazungu hawakubali ila warusi,waarabu na waisraeli wanajeuri ya kuupinga lakini sio mjerumani muingereza mswidi na mmarekani! Chunguza!
Mkuu bado tunarudi pale pale, hiyo NASA ni ya Wamarekani sasa kama sisi waafrika tungekuwa intelligent enough, basi tungekuwa na "NASA" yetu huku huku afrika tunayoiendesha wenyewe bila mzungu na tungeshapeleka vyombo vingi tu huko kwenye outer space..., hao waafrika wataalamu waliopo NASA walikwenda huko wakakuta tayari NASA ipo na wakawa trained kuweza kufanya kazi huko lakini hiyo NASA na utaalamu wote wa kugundua na kutengeneza hivyo vyombo aliuanzisha nani?? Mdhungu!!Utaelewa maana ya open source.?
Hakuna kitu kilichofanywa na Mzungu tu, Leo ukisikia Apollo inaenda outerspace au mwezini, pale NASA kuna watu weusi mabingwa weñgi tu na top na wengine wamezaliwa afrika tena vijijini. Tanua uelewa kidogo tu utakutana na mengi.
Kipimo cha maendeleo yangu ni kuwa sina tongo tongo zako! Tatizo wewe unafikiria ndani ya boksi! Unaelewa hao unaowaita ni wastaarabu wamepitia hayo yote? Wametoana kafara wametoana roho wameua wenzao kwa ajili ya mali na ardhi na mpaka sasa hivi wanaua watu wakidai wanaowaua wana silaha za maangamizi kumbe babu zao waligombana na hao watawala!. Hawataki wanaofikiri tofauti nao mfano Cuba, Venezuela,Zimbabwe nk. Kwa vile wewe haujui historia yao na vimisaada waliyokupa ukaweza kununua ka gari kako ka mtumba kwenye mgongo ya wasionacho wewe unawaona wastaarabu! Kweli limbukeni hana heri!wewe umeona ushoga tu? na cc vita vya cc kwa cc, mauaji ya vikongwe /albino, njaa, serikalimbovu,mila za ajabu ajabu? basi tupe kipimo cha maendeleo chako wewe tukione.
sasa lwa kuto kua na tongo tongo umeisaidia nn Africa yako? na hizo kafara zipo Europe tu? cc weusi hatuuwani kwa sababu ya mali na madaraka? mfano Kenya, Liberia, Burundi, Congo South Sudan tumulaumu mzungu pia?Kipimo cha maendeleo yangu ni kuwa sina tongo tongo zako! Tatizo wewe unafikiria ndani ya boksi! Unaelewa hao unaowaita ni wastaarabu wamepitia hayo yote? Wametoana kafara wametoana roho wameua wenzao kwa ajili ya mali na ardhi na mpaka sasa hivi wanaua watu wakidai wanaowaua wana silaha za maangamizi kumbe babu zao waligombana na hao watawala!. Hawataki wanaofikiri tofauti nao mfano Cuba, Venezuela,Zimbabwe nk. Kwa vile wewe haujui historia yao na vimisaada waliyokupa ukaweza kununua ka gari kako ka mtumba kwenye mgongo ya wasionacho wewe unawaona wastaarabu! Kweli limbukeni hana heri!
Ha ha ha haaaa yeuuuuuwi yani watu wanajifanya wabishi tu lakini ukweli wanaujua hadi mioyoni mwao kwamba mdhungu ni noma.....wewe mwenyewe hio avatar pic yako ni ya mzungu! Sasa bado una bisha tu
Ninachopinga ni kauli kuwa eti wazungu ni 1st class. Kuna mtoa mada kasema wote (waafrika,wazungu wahindi n.k) wako sawa huyo ndi namuunga mkono. Ninaisaidia Afrika yangu watu wajue kuwa wazungu sio miungu na wala sio dawa ya matatizo yetu.sasa lwa kuto kua na tongo tongo umeisaidia nn Africa yako? na hizo kafara zipo Europe tu? cc weusi hatuuwani kwa sababu ya mali na madaraka? mfano Kenya, Liberia, Burundi, Congo South Sudan tumulaumu mzungu pia?
apo ni kwel ame overrate lkn ukweli ni kwamba we Africans have a problemz na ni la kutoka vizazi mpk vizaziNinachopinga ni kauli kuwa eti wazungu ni 1st class. Kuna mtoa mada kasema wote (waafrika,wazungu wahindi n.k) wako sawa huyo ndi namuunga mkono. Ninaisaidia Afrika yangu watu wajue kuwa wazungu sio miungu na wala sio dawa ya matatizo yetu.
Kwa sasa tutaendelea vizuri baada ya kupata ufahamu.apo ni kwel ame overrate lkn ukweli ni kwamba we Africans have a problemz na ni la kutoka vizazi mpk vizazi
Ungesoma majibu katika post endelevu.Mkuu bado tunarudi pale pale, hiyo NASA ni ya Wamarekani sasa kama sisi waafrika tungekuwa intelligent enough, basi tungekuwa na "NASA" yetu huku huku afrika tunayoiendesha wenyewe bila mzungu na tungeshapeleka vyombo vingi tu huko kwenye outer space..., hao waafrika wataalamu waliopo NASA walikwenda huko wakakuta tayari NASA ipo na wakawa trained kuweza kufanya kazi huko lakini hiyo NASA na utaalamu wote wa kugundua na kutengeneza hivyo vyombo aliuanzisha nani?? Mdhungu!!
Kila mtu bila kujali rangi alishamtawala mwenzake kwa vipindi tofauti. Tatizo tulifundishwa historia ya kutawaliwa watu weusi. Hujasoma wazungu zaidi ya milioni moja walivyotenkwa na kuuza kama watumwa Africa kaskazini karne ya kumi na sita.Sasa kama ni hivyo kwanini waliweza kuja kwetu kututawala na wala si sisi kuwahi kwenda kwao?? Sisi tumebaki nyuma na wao wameendelea kuwa mbele daima kwa kila kitu?? Kuna wanaosema kwamba wazungu walipokuja kututawala waliiba utajiri mwingi sana na kuuhamishia kwao ulaya na sisi kubaki masikini lakini hoja hiyo haina mashiko kabisa kwani wazungu hawakubeba kila tulichokuwa nacho, tumeendelea kubaki na utajiri mwingi tu, maliasili, madini wanyama, nk. Hata marekani wenyewe walitawaliwa na waingereza, wafaransa, wahispaniola, lakini mbona walipopata uhuru walikuja kuendelea...
Kila kizuri cha kimaendeleo kinatoka kwao tumeiga mambo yao mengi sana elimu wao ndo walileta, jinsi ya kuendesha siasa, uchumi, nk vyote tumeyatoa kwao?? Kuna usawa gani hapo??
Wajameni kuna mambo ambayo mtu huwezi kukataa hata iweje, lazima tukubali tu kwamba sote tu binadamu lakini binadamu wenzetu weupe ni level nyingine.. walishatuzidi tu hakuna namna..
badil hio avatar yako alf usimamame kwenye maneno yako vinginevyo ni blah blah blah blahUnahitaji kua na High IQ ili kumuelewa mzungu,
Nakusikitikia sana mtoa mada na wote wanaokusapoti,
[HASHTAG]#Emancipate[/HASHTAG] Yourself from Mental Slavery#
badil hio avatar yako alf usimamame kwenye maneno yako vinginevyo ni blah blah blah blah
fanya risechiFikra duni ni hatari sana!
naunga mkono hojaNajua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.
Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.
Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.
Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.
Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.
Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.
Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.
Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.
Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.
Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.
Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.
Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.
Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?
Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.
Hakika Mungu ni muweza Sana.
May God continue to bless those nations.
Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
Kwani uongo?kwani we si mtu wa dunia ya tatu?Sisi wote tupo sawa bali tuna rangi tofauti na fikra tofauti na kuhusu weusi tupo daraja la mwisho labda ww ndo upo daraja la mwisho,jisemee ww mwenyewe