Recent content by real 1

  1. real 1

    JamiiForums Tanzania Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

    mpaka ukaamua kwenda kanisani mkuu!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... daaahhh kuna uzi uliletwaga hapa mda kidogo ulikua unasema "Having sexual intercourse regularly increase your faith".... labda ni kweli aisee
  2. real 1

    JamiiForums Tanzania Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

    Habarini jamani... samahanini mimi nyuzi kama hizi nikishasomaga tu comment za watu huwa naishiwa cha kucomment so naamua kupita tu kama hiivi.. heeiy nilikuepo
  3. real 1

    JamiiForums Tanzania Nashndwa kumuacha licha ya yote haya

    kila siku mnaambiwa ukiwa na demu mmoja anafanya mawazo yako yanakua mgando ila hamsikii!! ona sasa huyu mtoto wa kike anamcheat 2 times alaf anakuja huku anaomba ushauri jinsi ya kumuacha. Eti when i tried to do so i feel pain!!! aaarrgghh WTF??? what is the cause of those pain? obviously...
  4. real 1

    JamiiForums Tanzania Muhimu: MMU lady, gentleman of the year 2016

    am not a selfish but my mind tell me that am the best! Yeeeaaahhh always am real 1... yes always will be.
  5. real 1

    JamiiForums Tanzania The different types of women

    Hivi kuna wanaume wamesoma hiyo thread apo? kama wewe umeisoma umejisumbua tu!! ni women hao hata ukisoma hawako hivo alaf bado unaeza usiwaelewe then hata icho kidogo ulichokielewa kinaeza kisikusaidie!! Mimi nilivoona heading tu nikaamua nije ni comment huku kwamba "NI WALE WALE TU".
  6. real 1

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mwanamke

    daaaahhh!! respect you girls. Na mimi kuanzia leo hata sijisumbui hata kuwaelewa kwa sabab siku hizi hawataki hela hela tu peke yake! wanataka na vitu vingine ambavyo hata wenyewe ukiwauliza hawavijui.Eeeeeehhh Mungu baba embu naomb wapunguze kidogo kwa maana huku duniani wenyewe ndio wako...
  7. real 1

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mwanamke

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa maana hamna namna nyingine sasa...... eeeeeehhhh
  8. real 1

    JamiiForums Tanzania Sifa za mpenzi wangu

    kuna sifa NEGT moja huijui ngoja nikwambie: huyo lazima atakua na kamchempuko haiwezekani akienda mahal anapopapenda anachelewa kiasi icho, yani saa 3 hadi saa 3 usiku!! shtuka wewee...... MIND of king&
  9. real 1

    JamiiForums Tanzania Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

    wakuu hivi hawa wanaokula chabo wanafaidika na nini eti mbona siwaelewi?
  10. real 1

    JamiiForums Tanzania Ananipenda, ila moyo wangu wala haumfikirii

    mkuu vip mbona kama una sitaki nataka!! anyway kama kweli humtaki embu nipe namba yake sasa hivi nikupunguzie mzigo.... mim na uhakika kwangu hachomoi
  11. real 1

    JamiiForums Tanzania Hivi anayevuruga mahusano yetu ni nani?

    mmnnhhh kwa hiyo unataka unambie hujui kama hapo katikati yuko MCHEPUKO??
  12. real 1

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    unajua Mungu huwa namuogopa, namuabudu, namuheshimu yani generally nampa sifa zote. Alipotuumba wanadam alitupa akili lakini yenye limitation (ukomo) tena yeye mwenyew anasema "nimekupeni akili ya kuweza kuvitawala vitu ambavo viko katika mazingira yenu". Sasa wewe ako ka akili ulichopewa cha...
  13. real 1

    JamiiForums Tanzania Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

    doouuhh kwa nin nisi comment kizushi kwenye huu uzi kama hivi ili usipotee alaf siku nikumtungia free style nitupie humu
  14. real 1

    JamiiForums Tanzania Men are cruel to single women

    let me subscribe this!! i will be back
  15. real 1

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mwanamke akisha kupa papuchi hamu ya kuwa naye inapungua?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom