Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

Anapenda kufanya mapenzi sana, najuta!

-->>Nitupie huyo sex maniac huku / nimkomeshe na Dawa ya kikongo / I shall end maniac yake yote...dadek....
*Nitampelekea mzigo kila siku mfululizo siku 7.. for permanent cure...
 
Ndugu zangu,

Mwaka jana 2015 alihamia dada mmoja hivi ofisini kwetu kutoka mkoani. Mimi wakati huo na bosi hatuelewani kabisa. Basi dada mpya kwa kuona hayo akaanza kuwa karibu nami, ili kunipa faraja. Mimi sasa nikawa mbogo sikutaka kabisa ukaribu naye kwani sikumfahamu.

To cut the story huyu dada alikuwa stalker, na alihakikisha anafuatilia mpaka akapajua ninapoishi. Alipogundua sina mpenzi ndio ikawa balaa. Alisema mara kadhaa kwamba ananipenda, lakini ndani ya moyo wangu sikumfeel. Alinifanyia vitu vyote mpaka pesa alinipa, kiwanja alinunulia.

Nikamsogeza karibu na hatimaye tukavunja amri ya sita[emoji17].
Tatizo liko hapo. She is a sex maniac!!!!!!! She wants it after every two days na hizo siku ni usiku mzima hamlali. Too much of anything is harmful. After 3 months, nikamuacha. Nimerudi church maana hali yangu kisaikolojia ilikuwa mbaya.

Ni miezi 6 sasa imepita ila bado figisu zinaendelea. Watu wengine ofisini wanaona kama nimemuonea. Siri nimeitunza kwa nini nimeachana naye.
Phew!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
Niungalishie mwanangu nikusaidie..
 
Nichofahamu ile biashara usishiriki na mtu unaefanya nae kazi ofisi moja au mnakaa nyumba moja ya kupanga, yakiharikibika asubuhi hutaki kwenda ofisini wakati ndiyo mkate unakotoka. Kama mnaishi nyumba moja ya kupanga, asubuhi unamlia timing unaoga kabla hajaamka, kasheshe ukimaliza kazi, hutaki kurudi nyumbani.
Hahahaaaaa noma sana, yalishanikutaga ilo ulisemalo ni hatareee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa em rudi kale tunda. Ukioa ww si utapigiwa . kula vizuri, a cha chipsi mayai. Piga kazi mtoto wa kiume. Mapenzi so lazima mfanye usiku. Mgegede kwa timing . mtie mimba kabisa ..
Ndiyooo dawa hiyoo mzee yaan we oa halafu mkeo mpige kamoja atokeee mjinga ampate atamgonga huyoo kama bokoharamu na anaweza pewa hata nyuma kwa show wanawake wanataka show mzee unapiga kama mwizi hapo mtaenda sawa we tia urembo upigiwe
 
Wengine wanakuwa wanafikra kuwa wakikuacha Sikh nyingi utamcheat ndio maana anakupa kila siku ili uone ya kawaida usitamani mwingine usimzamnie binti vibaya.
 
mpaka ukaamua kwenda kanisani mkuu!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... daaahhh kuna uzi uliletwaga hapa mda kidogo ulikua unasema "Having sexual intercourse regularly increase your faith".... labda ni kweli aisee
 
Mkuu kwani vipi ungefunguka pengine anafanya akiamin wewe anakuridhisha usichepuke....amejitahid kutimiza wajib ila ww una yako moyoni....Iyo ni fursa adhimu
 
Yaani, huu uzi ni wa mwaka jana ila nimeusoma Kama naangalia movie fulani hivi japo kwa huzuni Sana starling amefia kwenye maua.

Nitarudi tena... ... ...
 
Sasa nikegundua kuna jinsia tatu, kuna wanawake, wanaume na wanaume wa dar (ambao ndo kama huyu jamaa, yaani unamkimbia mwanamke kisha kusex then unafanya nini hapa duniani hiyo pumzi si unapoteza ya bure tu)
 
Ntakupa msaada nialike au hana mvuto ktandan unamchokaaa!!!?? Lkn type wengne tusiochoka
 
Back
Top Bottom