Uyo uyo mkuuNdiyo huyu huyu bahili?
Chaguachagua tu mama uone ka miaka inarudi....Uyo uyo mkuu
Mmmhhh....hofu nini sasa? Ulimkuta akiwa na meno 32 banna!Ni mwanaume fala tu atamruhusu mwanamke wake aende full moon party unaccompanied...it's a fcukfest















Ila we mwenyewe wiki iliyopita tu, uli-comment kuwa single mother, divorced, na una undugu na baba wa mwanao. Ndio JF.

Hata mimi ningelikukataza eboo eti full moon nakujua huko Nungwi hakuna salama kuna wataliano na wagegedaji hatari. Nilimtokea mdada wa kitaliano hajui hata english dadeki zake alipangika kama toto la kimanyema😉Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo?? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano..kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana..Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
Unakimbilia wapi huko sasa? Njia imefungwa.
Sio wote baadhi yaoHabari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo?? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano..kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana..Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
Anaanzaje kumpiga chin na wakat kapendaKama huyawezi maisha hayo si umpige chini????
Hili swali lake hakupaswa kutuuliza sis hapa, anamaanisha huyu ni mpenzi wake wa kwanza?Kama huyawezi maisha hayo si umpige chini????
Kama kampenda basi avumilieAnaanzaje kumpiga chin na wakat kapenda



tuLabda aisee.Hili swali lake hakupaswa kutuuliza sis hapa, anamaanisha huyu ni mpenzi wake wa kwanza?