[emoji23][emoji23]Mchawi ni binadamu mwenyewe
Kila mtu akibaki na wake mmoja hakutokua na usaliti
mmnnhhh kwa hiyo unataka unambie hujui kama hapo katikati yuko MCHEPUKO??Habari wanajamvi?
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mitafaruku mingi ktk mahusiano. Ndoa nyingi na mahusiano mengi ya kimapenzi yanalegalega. Hakuna tena kumianiana kati ya mwanamke na mwanaume. Kibaya zaidi wanawake wanawalaumu wanaume kuwa ndio wamesababisha uaminifu na upendo utoweke na wanaume nao wanalalamika wanawake ndio chanzo cha mapenzi ya dhati kutoweka. Sasa mi napenda kujuzwa kama wanaume hawahusiki na ufisadi wa mapenzi na wanawake nao hawahusiki pia, je ni nani anaetuhujumu ktk mapenzi? Anakaa sayari hii au Mars?
Hali si shwari tena mapenzi ya dhati yametoweka kama dinosoo. Naomba tutamfute mchawi anaeturoga ni nani? Maana wanaume wanadai wao wana mapenzi ya dhati tatizo wanawake, wanawake nao wanarusha makombora upande wa pili, hapa kati kati kuna nani amejificha?
Kwan mama yangu ndio unaishi nae au mm?!Tatizo wewe mama yako alishanikataa
Sasa mapenzi na wewe ndio basi tena [emoji28]
Akinikubali mama yako ndio nitaishi na wewe kwa amani zaidiKwan mama yangu ndio unaishi nae au mm?!
Masharti yako magumu snAkinikubali mama yako ndio nitaishi na wewe kwa amani zaidi
Ha ha ha
Sasa wewe umejuaje kama ninae?
NOOOOO! mm nimeshasema mkuuAnayevuruga ni mwanamke na mwanaume wote wanahusika.
1. Mke wa mtu anatongozwa anakubali ili hali anajua ana ndoa yake.
2. Mme wa mtu anatongoza wake za watu ili hali nae anajua ana mke wake wake.
KWA NN TUSISEME NOO KWA PAMOJA JAMANI NDOA NA MAPENZI YETU YADUMU ?
Mbona wewe huna mmoja?,au unabisha?,tena namjua mama yako Mama Koku na baba yako mzee Bashumika hapo kwenu Igogo Mwanza,kila wakati unawagombanisha vijana wa watu bila huruma,hivi unafikiri bwana Yesu anapenda matendo yako?Mchawi ni binadamu mwenyewe
Kila mtu akibaki na wake mmoja hakutokua na usaliti
Dah, hapo sasa unaingilia privacy za watu. Tujikite ktk mjadalaMbona wewe huna mmoja?,au unabisha?,tena namjua mama yako Mama Koku na baba yako mzee Bashumika hapo kwenu Igogo Mwanza,kila wakati unawagombanisha vijana wa watu bila huruma,hivi unafikiri bwana Yesu anapenda matendo yako?
Lakini kweli mkuu,basi unisamehe bure.Dah, hapo sasa unaingilia privacy za watu. Tujikite ktk mjadala
Wengine watakosa wapenzi kabisa iwapo hilo litatokea.Mchawi ni binadamu mwenyewe
Kila mtu akibaki na wake mmoja hakutokua na usaliti