Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ha haa sasa hutaki ale?11 Anakula na pesa yangu
Ha haa sasa hutaki ale?11 Anakula na pesa yangu
Hela lazima iliwe, tena unatoa kwa hiariHa haa sasa hutaki ale?
hahahahahah anakula na pesa yako? hahahah aya bwana mkuu11 Anakula na pesa yangu
Kweli kabisa mwenza.s uongo mwenza
Mimi mwanamke hanisumbui...
Kumbe unajuaHela lazima iliwe, tena unatoa kwa hiari
Yes we do run the world hope mtoa mada kalipata hiliGIRLS![]()
Nguvu ya mwanamke sio mchezo, women have enormous power with men, and we can use it for good or for evil. Consider this Examples from the scripture . Take the power of Delilah with Samson, Samson could take on an army of warriors but he surrendered to the charm of one women.Hapana chezea nguvu ya mwanamke
Ukipigana na mwanamke lazima upigwe tuu
kwa maana hamna namna nyingine sasa...... eeeeeehhhhMkuu hebu wacha wivu jamani.Sasa hapa watakuja vichwa vikubwaa, kumbe mengine ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.