Ananipenda, ila moyo wangu wala haumfikirii

Ni mwanamke ambaye tumefahamiana kama miezi minane iliyopita. Ofisi yake na yangu zipo jirani sana.

Mara nyingi tumekuwa tukienda breakfast na lunch pamoja.

Amekuwa akinitumia msg ambazo 100%zinaonesha kuwa anahitaji tuwe ktk uhusiano wa kimapenzi. Hatoki kazini bila kunipitia. Na nikimwambia labda nipo bize, lazima atanisubiri.

Weekend, hupenda kunikaribisha kwake hasa kwa ajili ya dinner. Na ikitokea sijaenda, lazima aniletee. Na sometimes, huwa anataka nimpe nguo zangu anifulie na kuzipiga pasi. Nilimpa mara moja tu nguo za kufua.

Si hivyo tu, bali amekuwa akinitumia meseji au kunipigia simu, KESHO NAOMBA UVAE NGUO FULANI..

Najua kuwa ananipenda sana.Tatizo moyo wangu, mbona haumkubali? Mbona nakuwa mzito?

Nifanyaje?

*Mimi nina mke, ingawa nafanya kazi mkoa mwingine na familia yangu inaishi mkoa mwingine.
Nahisi ulibipu.badala ya yeye kupiga kaja uso kwa uso.Funguka sawasawa kabla hajakuzingua
 
wee n zaidi ya laghai then huna akili sasa kama humpendi kwa nini humwambii kwa nn kumpotezea mda huo ni utaira
 
Ilunitokea mwaka jana nikamweleza ukweli, akanikasirikia na kunichunia lakini sikujali hilo, sasa tunaheshimiana fresh.
Kinachokusumbua ni kutokuwa muwazi kwake kwa kuhofia atakuchukulia una roho mbaya
 
We mwambie umeoa, maana yeye anaweza kuwa anahisi we ndo Adam wake
 
Asa kumbe umeoa iheshimu nfoa yako ipende familia yako kuna asilimia kubwa ukipata binti wa nje familia yako itaanza kuyumba na pia utashindwa hata kuwasomesha wanao fresh........ Hizi mambo tuachie cc ambao hatujaoa me mwenyewe once nikioa bx ciez toka na mwanamke mwingine ila kwa sasa nipo nipo kwanza
 
Ni mwanamke ambaye tumefahamiana kama miezi minane iliyopita. Ofisi yake na yangu zipo jirani sana.

Mara nyingi tumekuwa tukienda breakfast na lunch pamoja.

Amekuwa akinitumia msg ambazo 100%zinaonesha kuwa anahitaji tuwe ktk uhusiano wa kimapenzi. Hatoki kazini bila kunipitia. Na nikimwambia labda nipo bize, lazima atanisubiri.

Weekend, hupenda kunikaribisha kwake hasa kwa ajili ya dinner. Na ikitokea sijaenda, lazima aniletee. Na sometimes, huwa anataka nimpe nguo zangu anifulie na kuzipiga pasi. Nilimpa mara moja tu nguo za kufua.

Si hivyo tu, bali amekuwa akinitumia meseji au kunipigia simu, KESHO NAOMBA UVAE NGUO FULANI..

Najua kuwa ananipenda sana.Tatizo moyo wangu, mbona haumkubali? Mbona nakuwa mzito?

Nifanyaje?

*Mimi nina mke, ingawa nafanya kazi mkoa mwingine na familia yangu inaishi mkoa mwingine.
mkuu vip mbona kama una sitaki nataka!! anyway kama kweli humtaki embu nipe namba yake sasa hivi nikupunguzie mzigo.... mim na uhakika kwangu hachomoi
 
Nipm namba yake mimi bila shaka nitamkubali. Maana wewe umeshindwa kujifunza kumkubali. Kama unampenda unaogopa kuja kumuumiza nipe namba yake mimi sitamuumiza.
 
We mwambie umeoa, maana yeye anaweza kuwa anahisi we ndo Adam wake

Mkuu huyu jamaa amekwisha kuwa Adam wake.Familia yake kaitekeleza Na pesa za matumizi hapeleki.Amekwisha NASA kwenye mtego hajui atokaje.Ukimkorofisha huyo mdada Na kazi huna.Halafu uje hapa jukwaani umlaumu JPM kafanya maisha magumu.
 
Mmmh, haya bwana.
 
always am feeling good ninapoingia humu kusoma komment za watu maana hata mawazo kidogo yanapungua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom